Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

Kila amtukanaye mwalimu ana mapepo. Hakuna mwalim kilaza ndio maana alisomea kazi hiyo na akafaulu. Pia hakuna mwalm wa sec ambaye alifeli ndio akaenda kusomea ualimu, kuna walimu wana Division I zao wamesomea ualimu leo mnasema ni vilaza hizo ni kauli za kipumbavu......samahani kwa hili cyo tusi.

Ungeniambia kuna baadhi ya walimu hawana maadili mema pengine ni kutokana na malez walivyolelewa kwenye familia zao na jamii inayowazunguka imewafanya wawe hivyo.

Pili lazima ujaribu kutathmin mfumo wa elimu ya sasa na zamani tulivyosoma sis ni tofauti. Zaman kati ya wanafunzi 50 darasani wanafaulu 3 au 1 lakin sasa hivi darasa lina wanafunzi 100 wote wanafaulu kwenda secondary halafu hajui kusoma hata kunakili notes ubaoni ni hawezi. Unadhani hapo kilaza ni mwalimu au mwanafunzi?

Mnaomtusi mwalimu leo mnajitakia matatizo ambayo kamwe kujiondoa kwayo lazima uingie gharama maana Mungu anawaona.

Mwalimu ndiye amebeba hatima nzuri ya maono ya mtoto. Je wanafunzi wanaofaulu leo na kujiunga form 5 na 6 na kufanya viziri hadi Universities hao wamefundishwa na mashetani?

Mungu anawaona. Ipo siku hawa walimu mnaowatusi leo mtakuja kuwakumbuka, mtawatafuta hamtawaona wakati watoto wenu watakuwa kwenye uhitaji wa walimu kama hawa.

Napinga kabisa kwamba walimu ni vilaza bali walimu wameenda shule, wana div 1au2. Nani atakwenda Chuo kikuu ma div 3?

Chungeni sana vinywa vyenu visije vikasababisha mkose mema ya nchi na mbingu pia.
hakuna mwenye mapepo hapa!

mchango wenu ni mkubwa lakini lazima mkubali kukosolewa na kubadilika.

kuvunja wanafunzi viuno imekuwa kwenu ni jambo la kawaida tu, eti "tunawafunza maadili".

yapi????
 
Nasahihisha WORD ORDER(Subj-verb inversion) na SPELLING, nincompoop!
QN: Why are you so obsessed?
Statement: I wonder why you are so obsessed.
Namwonea huruma mwl wako unaedharau wakat u-mzito kiasi hiki.
ili iweje??

mawalimu tabralaza kama huyu ni mzigo wa miba.

unanichagulia ni wapi niweke sentensi ulizi na sentensi shangao??

ndivyo ulivyokariri kwenye andalio uchwara la somo???

hasara tupu!!!
 
siku hizi walimu ni wengi na shule ni nyingi pia isitoshe walimu wengi wametokea vyuo vikuu huko hawafundishi maadili zaidi wanaangalia course work.rais mwenyewe anakwambia chuo kikuuu bora afrika mashariki wanafunzi wanaandika notice wakiwa nje
 
Mkuu pole sana.
Wanaopenda kutukana walimu wao huenda ni wale waliokuwa wakorofi darasani au wazito kuelewa na wakafeli mitihani. Ili kuhalalisha hali yao, wanawaona walimu wao wabaya.
Hapa wanalipa kisasi(wanawaadhibu walimu wao kisaikolojia)
Mtu aliyekuwa mwanafunzi mwema na anajitambua, hawezi kuwatukana walimu wote. Huwa na mwalimu wa somo fulani au mwalimu fulani tena wa shule alikosoma.
nilifundishwa advance na walimu wazuri kweli, am proud of it.

wako humble, wanajielewa na wanatimiza wajibu wao.

ila wengi wa walimu ni janga kubwa!

wahuni wahuni tu, wanakimbizana hovyo na wanafunzi, wengine wavaa milegezo, wengine eti wana mabifu na wanafunzi 😀
 
There are no dumb learner, there are always dumb trainers! mwalimu kumdhalilisha mwanafunzi anasahau kuwa anajidhalilisha mwenyewe, kile alivyo mwanafunzi ni reflection ya kufeli kwa mafunzo ya mwalimu ambayo amekuwa akimpatia
 
siku zote nashauri adhabu za viboko zifutwe atleast kuanzia wanafunzi wa kidato cha tatu.
Niko sekondari na ya kutwa.
Wanafunzi wakinitibua kwenye somo langu huwa nawapa adhabu(sitaitaja hapa) na tunaheshimiana badala ya kuniogopa.
Likizo hii NILIJITOLEA kuwafundisha mada moja maana nikiangalia muda ni mchache ukilinganisha na mambo wanayotakiwa kuyasoma.
Kwa hiyo, walimu tunapotukanwa kwa makosa ya baadhi ya walimu huwa inauma sana mkuu.

Walimu wengine wana stress na wameshindwa kuzikontro.
Wengine wana ugomvi na mwajiri wanahamishia hasira kwa wanafunzi.
Huo ni uonevu na unyanyasaji mkubwa, kwani wale watoto hawasiki na matatizo yako.
 
nilifundishwa advance na walimu wazuri kweli, am proud of it.

wako humble, wanajielewa na wanatimiza wajibu wao.

ila wengi wa walimu ni janga kubwa!

wahuni wahuni tu, wanakimbizana hovyo na wanafunzi, wengine wavaa milegezo, wengine eti wana mabifu na wanafunzi 😀
Asante mkuu.
 
Hugo Johnson amevurugwa tu.

yeye ndiye katawala mjadala. lazma atakuwa nunda na amechezea kisago cha walimi ili arejee ktk mstari.

tena walimu wanaoajiriwa sasa wengi wametokea jkt sasa jichanganye ukutane na kibano cha mbwa mwizi.

nirudi kwenye mjadala.

-si jambo jema kusambaza hizo video, lkn ni vizuri kurecodi na kuficha sura halisi ili zitumike kama zana za kufundishia ktk ngazi za vyuo vya ualimu nk.

-wazazi komaeni na watoto wenu. lkn kama kila siku mnawatuhumu walimu kuwatongoza watoto wenu itafikia kipindi hawatapata msaada.

-walimu jirekebisheni pale mnaposemwa
 
Mkuu pole sana.
Wanaopenda kutukana walimu wao huenda ni wale waliokuwa wakorofi darasani au wazito kuelewa na wakafeli mitihani. Ili kuhalalisha hali yao, wanawaona walimu wao wabaya.
Hapa wanalipa kisasi(wanawaadhibu walimu wao kisaikolojia)
Mtu aliyekuwa mwanafunzi mwema na anajitambua, hawezi kuwatukana walimu wote. Huwa na mwalimu wa somo fulani au mwalimu fulani tena wa shule alikosoma.
Walimu Huwa niwajabu sana
 
Niko sekondari na ya kutwa.
Wanafunzi wakinitibua kwenye somo langu huwa nawapa adhabu(sitaitaja hapa) na tunaheshimiana badala ya kuniogopa.
Likizo hii NILIJITOLEA kuwafundisha mada moja maana nikiangalia muda ni mchache ukilinganisha na mambo wanayotakiwa kuyasoma.
Kwa hiyo, walimu tunapotukanwa kwa makosa ya baadhi ya walimu huwa inauma sana mkuu.

Walimu wengine wana stress na wameshindwa kuzikontro.
Wengine wana ugomvi na mwajiri wanahamishia hasira kwa wanafunzi.
Huo ni uonevu na unyanyasaji mkubwa, kwani wale watoto hawasiki na matatizo yako.
ni kweli..

na hapo ndipo lilipo tatizo.

ninaamini kabisa, walimu na wanafunzi lazima wahusiane katika hali chanya.

kati ya mistake kubwa sana ni kuruhusu ukoloni mashuleni...

mashule sasa yamegeuka uwanja wa vita kati ya wanafunzi na walimu.

naelewa kuna hatua za kinidhamu zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya wanafunzi watovu, lakini zisiwe hatua za kuogofya na kuharibu saikolojia za wanafunzi.

adhabu, kwa mfano, makaripio, na suspension.

naamini zinatosha kabisa kumshape mtu aliyekomaa!

sio kurarua viboko hovyo.

hapana!

vinginevyo, walimu ni watu muhimu sana ila wasiharibu kazi yao kwa makosa yanayoepukika!
 
Hugo Johnson amevurugwa tu.

yeye ndiye katawala mjadala. lazma atakuwa nunda na amechezea kisago cha walimi ili arejee ktk mstari.

tena walimu wanaoajiriwa sasa wengi wametokea jkt sasa jichanganye ukutane na kibano cha mbwa mwizi.

nirudi kwenye mjadala.

-si jambo jema kusambaza hizo video, lkn ni vizuri kurecodi na kuficha sura halisi ili zitumike kama zana za kufundishia ktk ngazi za vyuo vya ualimu nk.

-wazazi komaeni na watoto wenu. lkn kama kila siku mnawatuhumu walimu kuwatongoza watoto wenu itafikia kipindi hawatapata msaada.

-walimu jirekebisheni pale mnaposemwa
sawa!
 
Waalimu ni janga la uadilifu wa watoto nchini, yaani waalimu wengi ni vilaza na malimbukeni...samahani kwa hiyo kauli. Unajua huu mchezo wa kuchukua maksi za chini ndio wasomee ualimu...haiko sawa. Yaani kwenye Whatsap Nina waalimu ambao wanapost vipicha vya watoto yaani anafundisha anamuita Mtoto mmoja anaklmuelekeza ampige picha akiwa anafundisha...au anamuita mwalimu mwenzie ampige picha...au ampige picha akiwa anawachapa watoto...yaani waalimu ni shidaaaa!!!.. Sijui lakini huko tuendako....ila kwasasa waalimu ni vilaza
We kilaza, maksi za chini zipi? Yule alopost walimu wakimkung'uta mwanafunzi kule sekondari mbeya alikuwa na maksi za chini akaenda chuo kikuu? Hizi ni tabia tu za mtu mmoja mmoja, ktk kila sekta wapo. Usishambulie tu sekta kwa vile umeichukia. Mshambulie alotenda kosa!
 
ili iweje??

mawalimu tabralaza kama huyu ni mzigo wa miba.

unanichagulia ni wapi niweke sentensi ulizi na sentensi shangao??

ndivyo ulivyokariri kwenye andalio uchwara la somo???

hasara tupu!!!

Jaribu kusoma hapa unaweza kunufaika (usipoamua kushupaza shingo)

ukiona hujaridhika, tumia kitabu cha Geoffrey Leech and Jan Svartvik A COMMUNICATIVE GRAMMAR OF ENGLISH 3th Ed, pg. 381-389)
Four kinds of sentences (nitaziandika 3 tu, kwa mujibu wa majibu yako)

1. Statements are sentences in which the subject generally comes before the verb

You will speak to Johnson Meki today.

Johnson insulted me yesterday.

Words in bold (subjects)

Words in italics (verbs)

2. Questions are the sentences which differ from statements in one or more ways.

(i) The operator (aux. verb) is placed immediately before the subject

Will you speak to Johnson Meki today?

Did Johnson insult me yesterday?

(ii) The sentence begins with an interrogative word(wh –words )

What do you want to speak to Johnson today?

Why did Johnson insult me today?

(iii) The sentence has subject +verb order but with rising intonation in spoken English and ending with a question mark in written English.

You will speak to Johnson Meki today?

Johnson insulted me yesterday?

3. Exclamations are sentences which begin with what or how without inversion of subject and operator. In written English, exclamations usually end with an exclamation mark. (!)

What a mistake!

What an idiot we have here!

How carefully she drives!

How big is your car!

"I wonder why are you so obsessed" ni indirect question, not an exclamatory sentence. Lazima iwe na subj - verb inversion
I wonder why you are so obsessed

Kama ambavyo ungeibadili hii

How did he get on at the interview? (direct question)

I wonder how he got on at the interview(indirect question)

Nimekuonea huruma bure kwa povu wakati kitu hukijui.
Kutokujua ni kosa, ila kutokujua kuwa hujui ni kosa mara mbili.
Weekend njema mkuu.
 
Mkuu pole sana.
Wanaopenda kutukana walimu wao huenda ni wale waliokuwa wakorofi darasani au wazito kuelewa na wakafeli mitihani. Ili kuhalalisha hali yao, wanawaona walimu wao wabaya.
Hapa wanalipa kisasi(wanawaadhibu walimu wao kisaikolojia)
Mtu aliyekuwa mwanafunzi mwema na anajitambua, hawezi kuwatukana walimu wote. Huwa na mwalimu wa somo fulani au mwalimu fulani tena wa shule alikosoma.
Walimu Huwa niwajabu sana
Jaribu kusoma hapa unaweza kunufaika (usipoamua kushupaza shingo)

ukiona hujaridhika, tumia kitabu cha Geoffrey Leech and Jan Svartvik A COMMUNICATIVE GRAMMAR OF ENGLISH 3th Ed, pg. 381-389)
Four kinds of sentences (nitaziandika 3 tu, kwa mujibu wa majibu yako)

1. Statements are sentences in which the subject generally comes before the verb

You will speak to Johnson Meki today.

Johnson insulted me yesterday.

Words in bold (subjects)

Words in italics (verbs)

2. Questions are the sentences which differ from statements in one or more ways.

(i) The operator (aux. verb) is placed immediately before the subject

Will you speak to Johnson Meki today?

Did Johnson insult me yesterday?

(ii) The sentence begins with an interrogative word(wh –words )

What do you want to speak to Johnson today?

Why did Johnson insult me today?

(iii) The sentence has subject +verb order but with rising intonation in spoken English and ending with a question mark in written English.

You will speak to Johnson Meki today?

Johnson insulted me yesterday?

3. Exclamations are sentences which begin with what or how without inversion of subject and operator. In written English, exclamations usually end with an exclamation mark. (!)

What a mistake!

What an idiot we have here!

How carefully she drives!

How big is your car!

"I wonder why are you so obsessed" ni indirect question, not an exclamatory sentence. Lazima iwe na subj - verb inversion
I wonder why you are so obsessed

Kama ambavyo ungeibadili hii

How did he get on at the interview? (direct question)

I wonder how he got on at the interview(indirect question)

Nimekuonea huruma bure kwa povu wakati kitu hukijui.
Kutokujua ni kosa, ila kutokujua kuwa hujui ni kosa mara mbili.
Weekend njema mkuu.
Uko vizurii
 
There are no dumb learner, there are always dumb trainers! mwalimu kumdhalilisha mwanafunzi anasahau kuwa anajidhalilisha mwenyewe, kile alivyo mwanafunzi ni reflection ya kufeli kwa mafunzo ya mwalimu ambayo amekuwa akimpatia
Nisaidie kukuelewa hapa.
Mwanafunzi analetwa sekondari hata kusoma na kuandika hajui.
Ataitwaje hapo darasani/shuleni kwa level hivyo?
Uelewa wa binadamu haufanani kama zisivyofana IQ zetu.
Mentally challenged students wanaitwaje?
 
Back
Top Bottom