Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

kunab mwalimu na teacher...mwalimu ni yule anaefuata taratibu za ualimu...afu kuna huyu teacher....suruali chini ya makalio..hafuat taratibu za ualimu
 
walimu wa siku hizi wapumbavu pumbavu tu hasa wa sekondari.

wavaa milegezo na modo.

wanachoweza ni kupambana na wanafunzi kwa viboko na kugombania mademu.
andika hivi...walimu wa siku hizi baadhi yao ni wapumbavu hasa wa sekondari.kuvaa milegezo na modo...tusidharirishane mkuu ni kweli kuna baadhi ya walimu wako hivo lakini sio wote....tuheshimuni basi
 
afadhali wewe ni muungwana kuliko wengine wengi ambao ni asilimia kubwa.

shida yangu mimi kwenu ni kuhusu uonevu na upigaji hovyo wa wanafunzi .

mmezidi sana kushughulika na maswala ya hovyo sana.

nilipokuwa advance nilikuwa nashuhudia vituko kweli, walimu wanakimbia kimbia hovyo na mabakora.

hakuna comfortability kabisa ya wanafunzi kusoma.

siku zote nashauri adhabu za viboko zifutwe atleast kuanzia wanafunzi wa kidato cha tatu.

wale wachini nadhani labda ndio wanahitaji kubustiwa kidogo, (kidogo)

hamuwezi kutengeneza maadili kwa watu waliobalehe, mtawafanya wawe sugu na waoga waoga tu mwishowe wanafeli.

kama ni mathematics fundisha mathematics ondoka.

hii tabia ya kurarua wanafunzi na viboko visivyo na idadi ni kati ya vitendo vibaya sana vya kikoloni.
Ningekuwa namfundisha mtoto kwenye shule ninayofundisha kama ni kilaza hakika ningekuita ofsini kukupa vidonge vyako na ikiwezekana ukamfundishe nyumbani kwako akishakuelewa ndio umrudishe shuleni akiwa bright.
 
Wanafunzi wa zamani tulikuwa na adabu na heshima kwa walimu wetu lakini cyo vitoto vya kizazi hiki cha nyoka. Usipotumia fimbo atakupanda mgongoni na kukunyea. Eti unafight unasoma vitabu unasummarize notes tena unaandika mwenyewe ubaoni ili aandike kitu kilichosahihi lakn cha ajabu yeye anakuwa na akili nyingi kuliko mwalimu.

*Anaandika summary ya note zako
*Mwingine haandiki kabisa
*Hakusanyi kazi
*Ukimpa homework anakuletea maswali kama yalivyo wakati huo ulipomuuliza ameelewa anajibu ndio.

Mithali 13:25
Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.

Mnajua sana kulaumu sana walimu na ndio limekuwa jalala la lawama, matusi na kila aina ya kashfa badala ya kulaumu mfumo.
You are fighting wrong enemy.

Ipo ck mtatulia tu labda kama hamna watoto au kama hamtazaa.
 
andika hivi...walimu wa siku hizi baadhi yao ni wapumbavu hasa wa sekondari.kuvaa milegezo na modo...tusidharirishane mkuu ni kweli kuna baadhi ya walimu wako hivo lakini sio wote....tuheshimuni basi
Sahihi kabisa. Kuna watu ni mabashite tunawaacha kama walivyo
 
Habarini za weekend wanaJF;
Nimesikitishwa sana na hizi video au post ambazo Mwalimu anapost au anasambaza mitandaoni huku akiwa anafundisha, tena anaonesha jinsi gani mwanafunzi anayemfundisha ambavyo haelewi ambae ni Mtoto mdogo under 10, najiuliza hivi maadili mliofundishwa huko vyuoni yanawaelekeza mfanye hivi.

Je wazazi wa hao watoto wakiwafungulia mashitaka mtasema mnaonewa,

Assume ni mwanao Unaingia mitandaoni unakuta video inaonesha jinsi gani alivyo bashite,

Assume baada ya miaka 30 Uyo Mtoto anakuja kuwa mwanasiasa na video Kama hizi hujui kwa kiasi gani utamdhalilisha?

Ombi kwenu walimu watendeeni watoto wetu Kama mnavyotaka wa kwenu watendewe, Kama mnaona ni sawa rudini vyuoni mkasome hata business administration inatosha video

Video zimegoma ku-upload
Ukiona mwl hana maana mwanao mfundishe mwenyewe kwan umelazimishwa ?acha kuzalilisha walimu hapa wapo watu wamefanikiwa kwa hao hao walimu,fundisha mwenyew mwanao kama ww mjanja mtawalaumu siku ya siku mnawapelekea watoto wenu,nashangaaga sana!
 
ingekuwa ni kosa moja analitenda mtu mmoja tusingesema hivyo tatizo ni makosa mengi na ni watu tofauti Ndio maana nimetumia wingi ni walimu Sio Mwalimu mmoja

Tulia mkuu
Kwa vile walimu hawana mtetezi ndio m,aana unajitanua humu maana kama ni vitendo vya ajabu basi askari wana ongoza lakin huko unaogopa kuongelea teh teh teh!! Ila walimu acheni tabia ya kupost picha za mapungufu ya watoto mnao wafundisha ingawa huenda lengo oenu ninkuionesha jamii changamoto mnayo kutana nayo lakin si jambi jema nadha wizara husika ilitolee kalipio kali na kuchukua hatua juu ya swala hili.
 
Ukiona mwl hana maana mwanao mfundishe mwenyewe kwan umelazimishwa ?acha kuzalilisha walimu hapa wapo watu wamefanikiwa kwa hao hao walimu,fundisha mwenyew mwanao kama ww mjanja mtawalaumu siku ya siku mnawapelekea watoto wenu,nashangaaga sana!
Ni kweli mkuu walim,u ni wamuhimu lakin hawa wanao post picha za watoto kwenye ,mitandao wachukuliwe hatu maana ni sawa na Dr. Kusambaza picha za wagonjwa mitandaoni
 
Ungejitahidi tu kuweka video la sivyo uzi wako hauna ushaidi
 
Ningekuwa namfundisha mtoto kwenye shule ninayofundisha kama ni kilaza hakika ningekuita ofsini kukupa vidonge vyako na ikiwezekana ukamfundishe nyumbani kwako akishakuelewa ndio umrudishe shuleni akiwa bright.
Ni kazi yako kama Mwalimu kumfundisha mtoto atoke kwenye huo ukilaza mpaka awe mwenye akili timamu. Bila hivyo basi utakuwa hujafanya kazi yako sawasawa!!
 
Ni kweli mkuu walim,u ni wamuhimu lakin hawa wanao post picha za watoto kwenye ,mitandao wachukuliwe hatu maana ni sawa na Dr. Kusambaza picha za wagonjwa mitandaoni
Kweli
 
walimu wa siku hizi wapumbavu pumbavu tu hasa wa sekondari.

wavaa milegezo na modo.

wanachoweza ni kupambana na wanafunzi kwa viboko na kugombania mademu.
Mpumbavu mzazi wako aliyekupa malezi ya kipumbavu yanayokufanya utukane walimu ambao bila wao usingeweza kusoma na kuandika upumbavu
 
Siwezi kutumia umoja (Mwalimu) Huku nimeona video Zaidi ya tano lazima niseme wingi (walimu) kwasababu wapo wengi
Basi na wewe ni mpumbavu video umeziona tano walimu wapo zaid ya laki tatu sasa hiyo research uliyo soma ndugu yangu wewe ni ya uchochoro gani.

yaani 0.00167% inatosha kujumuisha na 99.99833% kwenye kundi la wakosaji? Mwenzetu umesoma kweli wewe?au ndio nyie ambao shulen mnakalia uhuni na uvuta bangi halafu mkifeli mnatafuta sababu za kusingizia walimu? Hayo ndio matatizo ya kufeli na kukosa mwelekeo unaona dawa ni kuwatukana walio fahuru punguza ujinga kwanza kichwani mwako kabla ya kuhangaika na hao baadhi wa walimu wajinga wenzio.

Na ukiona mtu yeyote anaye wachukia walimu ni lazima alikuwa mjinga darasani maana hata shuleni wanafunzi wanao feli sana ni wale wakaidi,wenye kiburi, wagomvi, wanywa viroba,malaya nk na wasio na uwezo darasani mara zote hao huwa ndio wanao kuwa wakwanza kuwananga walimu na hata wewe tukikufuatili cheti chako kama sio una 4 ya 30+ basi una zero

Watoto wanao fahuru vizuri mara zote ni wale wanao kuwa na utii kwa walimu wao na nidhamu yao ni ya juu

Ila walimu na nyie baadhi yenu kweli mnakiuka taratibu kwa nini mnapost picha za watoto wenu mitandaoni huo ni ulimbukeni wa hali ya juu , kwa nini mnawadhalilisha watoto kiasi hiki, wewe ukienda kwa Dr kutibiwa halafu Dr akapost picha zako mitandaoni unavyo jieleza utaisikiaje. ACHENI TABIA HIYO.
 
afadhali wewe ni muungwana kuliko wengine wengi ambao ni asilimia kubwa.

shida yangu mimi kwenu ni kuhusu uonevu na upigaji hovyo wa wanafunzi .

mmezidi sana kushughulika na maswala ya hovyo sana.

nilipokuwa advance nilikuwa nashuhudia vituko kweli, walimu wanakimbia kimbia hovyo na mabakora.

hakuna comfortability kabisa ya wanafunzi kusoma.

siku zote nashauri adhabu za viboko zifutwe atleast kuanzia wanafunzi wa kidato cha tatu.

wale wachini nadhani labda ndio wanahitaji kubustiwa kidogo, (kidogo)

hamuwezi kutengeneza maadili kwa watu waliobalehe, mtawafanya wawe sugu na waoga waoga tu mwishowe wanafeli.

kama ni mathematics fundisha mathematics ondoka.

hii tabia ya kurarua wanafunzi na viboko visivyo na idadi ni kati ya vitendo vibaya sana vya kikoloni.
Wewe utakuwa ulifeli sio bure
 
Back
Top Bottom