Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

Acha kupinga,waraka ninao umesema walimu husika wapandishe,swala la kupanda madaraja liko kisheria halihusiani na bajeti,hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja,waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.

Hakika mama anaupiga mwingi,kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote.jpm kabana sana watu,mama ni mwingi wa huruma,Mungu amjalie heri na baraka tele
Mkuu kumbe ulishahama kikamilifu toka kwa JPM. Hata legacy nayo umeitupa! Nakumbuka combat la JPM kwenye profile yako. Sasa naona ni SSH tu. Interesting.
 
Mkuu kumbe ulishahama kikamilifu toka kwa JPM. Hata legacy nayo umeitupa! Nakumbuka combat la JPM kwenye profile yako. Sasa ni naona ni SSH tu. Interesting.
Mkuu Kwani jpm alikuwa chama gani na samia yuko chama gani!? Nijibu kwanza ndo tuanze mdahalo
 
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.

Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Wanaita mserereko. Hii ni kwa wale waliopunjwa madaraja tu.
 
Acha kupinga,waraka ninao umesema walimu husika wapandishe,swala la kupanda madaraja liko kisheria halihusiani na bajeti,hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja,waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.

Hakika mama anaupiga mwingi,kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote.jpm kabana sana watu,mama ni mwingi wa huruma,Mungu amjalie heri na baraka tele
Halafu wanachoshindwa kuelewa hawa watu ni kua waliopanda mwaka huu ni bajeti iliyopita na waoenda kuoanda kuanzia December to January ni bajeti ya 2023/24
 
Eti nyie mlioajiriwa mwaka 2013 si mmepanda mwaka huu? Rubbish. Hao nao walidhulimiwa na awamu ya JPM maana bila hivyo mwaka huu (2023) wangepanda daraja mara ya 3 na siyo mara 2 waliyopanda mwaa huu.

So kama mseleleko wale wa mwaka 2013 nao wanastahili kupandishwa tena kwa mseleleko. Na nadhani hata wale wa nyuma yao nao wanastahili.
 
Acha kupinga,waraka ninao umesema walimu husika wapandishe,swala la kupanda madaraja liko kisheria halihusiani na bajeti,hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja,waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.

Hakika mama anaupiga mwingi,kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote.jpm kabana sana watu,mama ni mwingi wa huruma,Mungu amjalie heri na baraka tele
Je, huko kupanda kwa madaraja kunaambatana na ongezeko la mshahara??
 
Siasa za mishahara Ya walimu na maslahi Yao ni ugonjwa sugu kwa taifa hili!!

Ni KADA ambayo hata wanasiasa wenyewe wanaidharau Sana kwa sababu kama taifa tuliamua ualimu ndio iwe kazi inayodharaulika zaidi na wao wawe punda wa kuibeba serikali inapokuwa katika presha ya matokeo makubwa kwa wananchi!!

Ni kundi ambalo limekosa wenye nia ya dhati wa kutatua kero zao huku wakigawanywa na kunyonywa kimfumo kupitia chama Cha walimu!!

Naelewa sana KADA hii kwa kina na sibahatishi!

Walimu ni dekio la serikali kufanya lolote wanaotaka hadi pale atakapoingia mwenye nia ya dhati wa kurekebisha dhana hii potofu iliyolelewa na taifa LETU hili!!!

Hakuna tetesi ya kuaminika ya maslahi ya walimu hadi pale maslahi yanaposoma kwenye akaunti!!

Niishie hapo mkuu!!
Mtafuteni Makonda awasaidie.
 
Tatizo sio umaskini na upuuzi wa walimu Bali ni dola iliamua KULINDA wanasiasa wanaovunja sheria na kukanyaga katiba !

Hivyo mwalimu hawezi tafuta Bunduki apambane na dola Ili kumpindua kiongozi anaesigina haki zao,Bali ni dola ndio inajukumu la kuchukua hatua pale haki za watu zinapovunjwa kwa kumtoa kiongozi madarakani kivyovyote vile!

Tuna dola inayochekelea WANASIASA wanaovunja sheria na haki za watu,hatujui ni kwanini labda kama Kuna maslahi wanapata toka kwa viongozi hao waovu!!!

Mwalimu asilaumiwe Kazi yake ni kutoa ujinga kwa vijana na anafanya vyema tangu uhuru!!
Umeongea vizuri sana, upewe maua yako
 
Back
Top Bottom