Udsm kulikuwa na Mwalimu Haule Dr (RIP) alikuwa mnywaji sana na maisha yaliharibika kwa kuachwa na mke akiwa Canada. He was never the same mpaka alipokufa.Katika nyakati tofauti iwe shule ya msingi, sekondari mpaka chuo jina la mwalimu haule sikulikosa na kamwe hawakuniangusha heshima kwao
Huyo simwaba alikuwa anakuja hadi Ivumwe kupiga pindi muda wa asubuhi sana wakati wanafunzi wengine wakiendelea na usafi wa hapa na pale.History - Mtefu (RIP), na Language - Michael Simwaba (RIP). Wote kwa pamoja walikuwa Meta Secondary School Mbeya; enzi hizo.
Shikamoo....Kinunda mkali wa Phy,Chem Old school A level pia alikuwa mama Semiono Kiswahili olevel,Tala,TOD hii 90s
Wewe mshabiki wa ccm kumbe ulisoma hizo shule za jumuia ya wazazi? No wonder unashabikia hata upuuzi wa viongozi wako. Inasikitisha wamekugeuza chawa.Huyo simwaba alikuwa anakuja hadi Ivumwe kupiga pindi muda wa asubuhi sana wakati wanafunzi wengine wakiendelea na usafi wa hapa na pale.
Yupo pia mwalimu Mwangosi alikuwa mtata sana na kichwa kwelikweli kwa somo la kiswahili pale Ivumwe.
Wapo akina mwalimu madam Masaili alikuwa naye upande wa language ,Yasini upande wa GEOGRAPHY na wengine wengi kutoka IVUMWE High school.kule vilijaa vichwa vitupu hasa Advance.
Pia alikuwepo mwalimu Mgonja pale Sangu high school kwa upande wa GEOGRAPHY.
😀😀😀Najivunia kusoma shule hizo .nilipata Elimu bora sanaa na ya kunijenga kujiamini sana mbele za watu na kujenga hoja bila hofu wala wasiwasi. Hata leo ningetaka kurejea shule upande wa Advance basi ningechagua hizo shule za wazazi CCM mkoani Mbeya hasa IVUMWE High schoolWewe mshabiki wa ccm kumbe ulisoma hizo shule za jumuia ya wazazi? No wonder unashabikia hata upuuzi wa viongozi wako. Inasikitisha wamekugeuza chawa.
Ingekuwa heri kama ungepata elimu bora ili ujiepushe kutumiwa na hawa wanasiasa. Ndugu yangu una thamani kubwa kuliko kushinda mitandaoni ukilamba nyeti za wengine upate kula.😀😀😀Najivunia kusoma shule hizo .nilipata Elimu bora sanaa na ya kunijenga kujiamini sana mbele za watu na kujenga hoja bila hofu wala wasiwasi. Hata leo ningetaka kurejea shule upande wa Advance basi ningechagua hizo shule za wazazi CCM mkoani Mbeya hasa IVUMWE High school
Kumbe JF tupo na watoto wetu.Mwl. Joseph Greygory wa kiingereza aliyefundisha pale Tengeru boys 2016-2020, alikuwa mshikaji sana kwa wanafunzi, darasani stori kama zote. Alivoondoka kila mtu alishtuka yaani
Na kile kipara chake tulikua tunamuita Guardiola
Nakumbuka alikua ana msemo wake 'Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe shuleni'🤣
Mimi situmiwi na wanasiasa bali naongea ukweli na kupinga upotoshaji.Ingekuwa heri kama ungepata elimu bora ili ujiepushe kutumiwa na hawa wanasiasa. Ndugu yangu una thamani kubwa kuliko kushinda mitandaoni ukilamba nyeti za wengine upate kula.
Sawa, umeikubali hali yako.Mimi situmiwi na wanasiasa bali naongea ukweli na kupinga upotoshaji.