Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Wakiwa kule concentration yao ilikuwa kwenye shughuli ya namna hii (Taarabu).
Wakaua siku kadhaa za mazoezi kuingia mtaani kufungasha mizigo ya kurudi nayo Tz.
Huyu naye ametia fora....hivi wakianza kuboronga na watu wakavuta kumbukumbu hizi na kuwapopoa watalaumu mtu kweli?
Wakati wenzao wameenda kujifua wao ni Taarabu na Shopping,hii ni akili kweli?