Mwanzisha mada nikuwa na wasiwasi na elimu yako au uwezo wa kufikiri, vile vile mapenzi ya klabu yamekuzidi mno. make jambo lifanywe na wanayanga tu ndo linakuwa zuri simba yakwao yote ni mabaya, au kuku ndo anakunya akinya bata kaharisha![]()
Wakiwa kule concentration yao ilikuwa kwenye shughuli ya namna hii (Taarabu).
![]()
Wakaua siku kadhaa za mazoezi kuingia mtaani kufungasha mizigo ya kurudi nayo Tz.
![]()
Huyu naye ametia fora....hivi wakianza kuboronga na watu wakavuta kumbukumbu hizi na kuwapopoa watalaumu mtu kweli?
Wakati wenzao wameenda kujifua wao ni Taarabu na Shopping,hii ni akili kweli?