FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,192
Hapo juu kwenye nyekundu uko sahihi kabisa.....ndio maana Chadema na wapinzani wengine makini wanataka kuiondoa CCM madarakani na kukamata serikali kwani haya ni majukumu ya serikali na wala si chama cha siasa!!
Unanifurahisha sana kwa falsafa yako ya "panya", ya kuuma na kupuliza. Nakukumbusha msemo maarufu wa John F. Kennedy:
"ask not what your country can do for you; ask what you can do for your country".