Waligoma Madaktari, Wanagoma Walimu, Je, Watakapogoma askari na wanajeshi itakuwaje?

Simba mnyama

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
348
129
Wana-JF,

Nimekuwa nikijiuliza mwenyewe hili wimbi la migomo lilivyoanza hapa nchini pasipokupata majibu. Fikiria walivyogoma madaktari hapa nchini na matokeo ya mgomo huo. Fikiria wanavyogoma walimu muda huu na matokeo ya mgomo huo. Jaribu kufikiria pia kuwa endapo utakuja kutokea mgomo wa askari na wanajeshi wetu wapendwa hapa nchini hali itakuwaje? Kwa maoni yangu sipati jibu, wewe je?

Nawasilisha.
 
hizi ni juhudi za watawala wetu kuhakikisha nchi haitawaliki. halafu wataunda tume kutafuta chanzo. vita hiyooo arround the corner. acha tuone mwisho wa haya yote.
 
Back
Top Bottom