Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

Mfalme_wa_Nyika

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2023
Posts
684
Reaction score
1,541
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20...
Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama sukari ya vigogo wa serikali hafanyi lolote zaidi kuuza sura sasa urembo umeshaisha kawa mshangazi akaja tena kwa wamama kutaka kura..
Unaambiwa kujiamini kwake kulikuwa ni kutokana na mpunga mkubwa aliotoa kwa wajumbe kushinda washindani wenzake wote, hakulala usiku nak kucha kuzunguka kumwaga pesa (rushwa) ila alichofanywa jana hakuambia...CATHERNE MAGIGE JANA AKAFANYWA MBAYA.
HILI ni ANGALIZO KWA PAUL MAKONDA anayedhani kuwa WAJUMBE NI RAFIKI ZAKE, Mimi kama Nabii wa Nyikani, nawaambia kuwa PAUL MAKONDA ATAFANYWA KITU HATAAMINI NA WAJUMBE WA CHAMA CHAKE , ASIFIKIRI YUKO SALAMA KWA KUJIAMINI BAADA YA KUFANYA FIGISU ZAKE KWA GAMBO KUFANIKIWA.
Makonda Sikia, Arusha hutakaa kuwa mbunge wake sio kwenye kura za uchaguzi mkuu wala kwenye kura zenu za wajumbe wa CCM.
Catherine Magige mwezako keshanyolewa wewe TIA MAJI.
 
Makonda anashinda Hapo Arusha Mapema tu hiyo iweke akilini.
Walisema hivyo hata Kigamboni....Makonda hawezi kuwa Mbunge wa Hapa Arusha, sisi wana Arusha sio mafala hata siku moja..kwanza ujue Arusha sio jimbo la ccm ni ngome ya upinzano, PONA YAKE NI TU ITOKEE CHADEMA ISISHIRIKI UCHAGUZI HAPO SAWA AKIWA AMEPITA NA CHAMA CHAKE ATAJICHAGUA
 
Hujui siasa wewe, unadhani Gambo harakati zake zimeishia hapo!? NAKUAMBIA HIZI MAKONDA HAPITI KURA ZAO ZA KUTEULIWA ARUSHA...HUTAAMINI
Mkuu njoo kwenye hoja mambo ya kusema ujui au unajua yanayokea wapi nani wa kumshinda Makonda kwa hao bosheni waliopitishwa nae mimi nazungumzia uhalisia kwa kura Makonda asingeweza kumshinda Gambo hata nusu ya kura asingepata ila kwa hao bosheni waliowekwa nae anapita asubuhi tu..
 
Siasa zilivyo Arusha Mjini ni Kama Bukoba Mjini .

Makonda kuna uwezakano Mkubwa atapigwa chini na hela italiwa.
 
Hapa kuna ukweli Gambo angeweza kuleta upinzani wakaona wamalizane nae mapemaaaa....
 
Huwajui wajumbe wewe...na hujui siasa wala matokeo...tunza huu uzi, tutarudi hapa kwa kumbukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…