Walichofanya HELSB sio haki!

Kuna mambo yanaumiza sana kwa walichokifanya Heslb Mungu anawaona
 
CCM wakati mwingine sijui huwa hawafikirii. Utafanyeje madudu haya wakati wa uchaguzi mkuu? Ni kujiongezea liability tu kwa wapiga kura bila sababu ya msingi halafu utasikia ooh serikali ya wanyonge. Wanyonge mai futi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Nyie JF badilisheji hiyo heading,inaonekana mnakubaliana nayo.
 
Boom sina, nadaiwa 300,000 ya ada kumalizia na mkopo wa 75,000 kwa friends.

Nadai 150,000 ambayo najua sitapata (bad debt) na 20,000 ambayo nitapata.

Kama mwezi uliopita jamaa mmoja ana uswahili akataka nimkopeshe hela anunue sabufa ili awapagawishe mademu zake wakija ghetto. Akadai akipata boom anirudshie, najua asingerudisha kwa hali hii.

Kuna girl alinichunia last week leo akanitext mchana eti nimtumie hela ya kula ana njaa. Sikumjibu kabisa akaja kutext jioni eti alikosea ile text, nafunga vioo najua hali si shwari[emoji23].

Kuna mwingine huyo ni rafiki wa muda sana akalia shida na 10k. Nikaona kwa kuwa mlokole huyu nampa atakuwa ana shida kweli.
Tukio la HESLB sijalipokea vema maana tutasumbuana na watu uko, na hivi vigali vinavyoshusha na kubeba watu hapa vitaongezeka kwa sana.
 
Tajiri huyo.

Amepanga chumba analipa laki na 20 halafu analalamika maisha magumu.
Acha mambo ya ajabu. 120,000 si ni sawa na 20,000 @ month hela ndogo kabisa kuwahi kusikia ikiwa kodi ya chumba.

Maeneo ya vyuo vyumba gharama kubwa sana na vina ushindani. Labda kama analipa 120k kwa mwezi ambavyo hakuna kichaa wa kutumia boom kulipia kodi hiyo labda kama anakula mawe.
 
Unaweza kuta mtoa mada ni jamaa muuza maandazi amenunua vocha baada ya kupata faida
 
Sijaelewa unahitaji nini haswa?
 
Mkuu umenikimbusha mbali sana[emoji23][emoji23]
 
Ndio sababu ya kusema kesho utakunywa sumu???

 
acha kulalamika kijana, yote hayo yatapita tu ila hasira zako zisikufanye uache kwenda kupiga kura October [emoji1690], viva magufuri
 

Naomba hiyo hela nitumie halafu ndo unywe sumu.
 
Huyo ndio JIWE nayemjua MIMI kwenye issue za PESA yaani akishaona hela kama hiyo inaenda huku anaona kama INAPOTEA na ndio maana akasema ipunguzwe dawa yake muonyesheni kwenye sanduku la KURA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…