Walichofanya HELSB sio haki!

Kweli tunatofautiana Una boom unajiua mwingine ana watoto Baba kakimbia anaamka anafuta mhogo anakaanga anapata faida kiduchu ananunua unga na dagaa mchele anakula maisha yanaendelea hivyo miaka lakini hawazi kujiua.
 
Kuna mwaka HESLB waninyima fedha ya practice nikawalaumu sana, lakini baadae nikawashukuru sana baada ya kuanza kazi na kuanza kurejesha mkopo. What doesn't kill you makes you even more stronger. Kubali yaishe
 
Tobaaaaaaah weee dea hebu kuwa mpoleeeh baas. Hadi nmeogopa
 
Tobaaaaaaah weee dea hebu kuwa mpoleeeh baas. Hadi nmeogopa
Hahaaaa kanitukana tu bila sababu huu Uzi una comments zangu nyingi nzuri tu nilizo mshauri Ila yeye akaanza personal attack, Sasa maoni yangu na usela mavi wapi na wapi, humu watu kwa kujiona wema bana
 
Oooh kumbe bas muelekeze taratibu tyuuuh.
 
Oooh kumbe bas muelekeze taratibu tyuuuh.
Hahaaa dear unashambuliwa humu na watu wanaojifanya malaika jamani comments zangu usela ma.. hapo ndo katinginya angepita tu kimya kimya, sio kuniona Mimi timamu.
 
Ujumbe umekuingia.
Huo usela mavi wako peleka kwa hao ulozoea kubishana nao.
 
Ujumbe umekuingia.
Huo usela mavi wako peleka kwa hao ulozoea kubishana nao.
Hahaaa hata hujafika ndo kwanza nazidi siachi kuandika nitakacho, so utachukia bure humu.
Kwanza kwanini uni quote I'm not even ur type mind ur bussiness
 
Hahaaa dear unashambuliwa humu na watu wanaojifanya malaika jamani comments zangu usela ma.. hapo ndo katinginya angepita tu kimya kimya, sio kuniona Mimi timamu.
Duuuuh aseeeeh hatareeeeh sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…