Walichofanya HELSB sio haki!

Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona umetimiza kumpa sumu kafa kweli umomi (jokes bhana)
 
Tuendelee kutoa RIP kama kawaida yetu. Tuendelee kuhesabu vifo vya vijana wanaochukua hatua ya kutoa uhai wao kwa kukata tamaa ya maisha baada ya kuonyesha dalili zote za kufanya hivyo humu jukwaani.
Lini tutaamua kufanya kitu? A million dollar question.
 
Ushauri mzuri.
 
Ni kweli mkuu... Depression inaanza kuwa tatizo serious kwa sasa
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Wewe ndio ulienda kumkorogea jamaa wa watu sumu akafa eeh?
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
vipi ulimkorogea sumu?
 
Tatizo watu huwa wanachukulia utani Kila Jambo humu.
Mtu ametoka huko ana stress,anafika hapa angalau apate faraja lakini matokeo yake anakandamizwa zaidi.

Ukweli hii issue la loan board imeumiza asilimia kubwa ya wanufaika wa mkopo.
Wengine hiyohiyo hela wanatumia kulipa ada,kununua mahitaji,kulipa pango(kwa wale ambao vyuo vyao havina hostel)
Wengine wanasaidia hadi ndugu zao kwao hali ngumu(nimeona watu wa namna hii na naona namna hali hi ilivyowaathiri)
Lakini kwa kejeli kabisa watu wanafika hapa wanaanza kutoa kejeli Mara ooh haukupewa hela ili ulipie ada(mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa),Mara koroga sumu,wengine wanashangilia wanafunzi kukatwa hiyo hela as if hawana watoto au ndugu.. yaani hawaijui shida.
Unaweza ona shida ndogo kwako kumbe mwenzio anaiona kubwa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Aisee.
 
Hivi naanzaje kujiua kwa maisha ya duniani yalivyo matamu, ata ukiwa jobless ni furaha tosha. Ukishindwa kujizuia mawazo mabaya ya akili ndo mwanzo wa kuferi maisha

R.I.P umom umemaliza siku zako za duniani
 
Sijui kama alizingatia mawazo haya sad
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Umemchelewa,katangulia.hiyo sumu uliyokoroga inywe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…