Walichakachua katika thread ya uchaguzi

Ninachosema ni kwamba hiyo post ya Afrodenzi ndio ilileta category ya King and Queen ambazo hazikuwepo mwanzo.
Kwa hiyo tunaweza kusema kua kila alie piga kura kabla ya hapo alikua anapiga kwa man and woman of the year
If so, kwa nini kura za EMT zimeingizwa katika category ya King of MMU wakati sisi tulimchagua kama MAN of the YEAR?

Haya basi, lakini kura za EMT zote zilikua ni za JF man of the year, hazikua za King of MMU (Mbona sio hata mzoefu wa jukwaa hili?), soma tena kura zetu mkuu.
Na pia alipata kura tano, sio tatu. Umesahau ya TAZ na yakwangu mwenyewe.

So this is two (Husninyo has continued to support EMT throughout the post)
Then nikarudi tena leo hii (baada ya kumpromote sana jana):.

Things that make you go hmmmm....
 
chu chu let me slap me,how could i ever forget to say good morning to my sweet babu,,umeamkaje babu jamani? Kongosho anasemaje?
Good girl! Babu yuko OK.

Afu tunapoongelea mambo yetu watu wengine wanaingiaje? This is between ODM na Kanakabana...The only two of us, OK?
 
chu chu let me slap me,how could i ever forget to say good morning to my sweet babu,,umeamkaje babu jamani? Kongosho anasemaje?

Hivi Babu anatoka na Kongosho? Mbona utata? Kongosho ni ni Dual Gender na zote Full Functional? (Certified).

Maskini Babu . . . . mpaka mwili unasisimka!
 
Good girl! Babu yuko OK.

Afu tunapoongelea mambo yetu watu wengine wanaingiaje? This is between ODM na Kanakabana...The only two of us, OK?

hehehe kanakabana ndo nani babu?haya sitarudia mwenyewe nataka nimpiku konny.
 
Hivi Babu anatoka na Kongosho? Mbona utata? Kongosho ni ni Dual Gender na zote Full Functional? (Certified).

Maskini Babu . . . . mpaka mwili unasisimka!

wameanza kutoka december last year,,na mapenzi yao yanaenda hata sijui wanafanyaje lol.
 
hehehe kanakabana ndo nani babu?haya sitarudia mwenyewe nataka nimpiku konny.
Umpiku mara ngapi? hebu toa huko mkono wako wa kulia hapo kwa avatar.... leo sijatoka na sabuni yangu. Yu knoo woram seyyying?

KANAKABANA = kajukuu kanakokabana na babu yake = Kabakabana.
 
Babu Asprin na Kabakabana mmeamkaje?
Swali kwa Babu asubuhi yote hii umemuacha Bibi Kitandani unafanya nini JF..
Na wewe Kabakabana huna usingizi?
Mie Koplo wa Geshi lazima boot lifungwe..ndo mkono uende kinywani.
Naona mnahakiki matokeo bila chenga
 
nachojua,
am loyal to my husbands

siku zote, siwaachi when they need.
Go, explore but remember where you you belong.

Good girl! Babu yuko OK.

Afu tunapoongelea mambo yetu watu wengine wanaingiaje? This is between ODM na Kanakabana...The only two of us, OK?
 
Mkuu wangu bht, hakuna fitna hapa, ni Haki Bin haki tu!

Wasalaam Aleykhum lakini. Huyo Mwanao hajambo eeh! Mamake yu wapi?
Aleykhum Salaam Supamani, naamini khali yako twaib
Huyu mrembo hapo hajambo na mie ndo mama na huyo kwenye avatar ni babaake. Nimewaweka maana moyo wangu unadundia hapo hapo.

(haimaanishi kukuambia hayo basi mchakato wako uko fair...NOPE)
 
Babu Asprin na Kabakabana mmeamkaje?
Swali kwa Babu asubuhi yote hii umemuacha Bibi Kitandani unafanya nini JF..
Na wewe Kabakabana huna usingizi?
Mie Koplo wa Geshi lazima boot lifungwe..ndo mkono uende kinywani.
Naona mnahakiki matokeo bila chenga

Duh! Nimekuwa mdogo ghafla! Swalama Bibie FL1? Napenda Avatar yako!

images
 
Umpiku mara ngapi? hebu toa huko mkono wako wa kulia hapo kwa avatar.... leo sijatoka na sabuni yangu. Yu knoo woram seyyying?

KANAKABANA = kajukuu kanakokabana na babu yake = Kabakabana.

dah babu msanii,, nimekukubali
hako kamkono si ulisema mpaka unikague ndo nikatoe au?.
hehehe kumbe nishampiku konny yarabi toba nimefurahi ngoja nianze na kisichana sasa hivi
 
Aleykhum Salaam Supamani, naamini khali yako twaib
Huyu mrembo hapo hajambo na mie ndo mama na huyo kwenye avatar ni babaake. Nimewaweka maana moyo wangu unadundia hapo hapo.

(haimaanishi kukuambia hayo basi mchakato wako uko fair...NOPE)

Ahaaaa! Kumbe wewe ni Mdada eeeh . . . namtafuta Bishanga anipe mbinu, nitarudi:

images
 
Back
Top Bottom