Walevi wanajifariji sana

Mleta mada, kwa kura za hapa hoja yako imekataliwa kwa nguvu.
TRA pia hawatakupenda.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23] leo ndio nimethibisha ule msemo wa wahenga "ukitaka kujua nguvu ya mlevi umwage pombe yake"
Ila walevi mnaushirikiano sana, yaani mkianzisha chama halafu mkaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi, kwa huo ushirikiano mnaouonyesha lazima muukwae uraisi na wabunge wa kutosha.
Nani kamwaga pombe yangu naulizaaaaaaa!!!!!!!!
 
Hapa mkuu umefeli. Unaweza ukawa Ofisini na mkeo analiwa kimasihara na muuze genge mtaani kwako. Mambo haya hayana formula.
 
Ngoja tujifariji

Ova
 
Jamaa wametisha kwenye huu uzi wanajitetea balaa

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Hujui hata pombe ina ladha gani alafu unatoa ushauri wa pumba ambao hujui hata unamshauri nani,anyway pombe ni nzuri ukinywa kistaarabu
 
Mtu asiekunywa pombe akinishauri niache pombe kama ndio tupo maeneo mazuri huwa naenda kuchukua bieliii nakunywa mbele yake ili anishauri vuzuri.
 
Kama hunywi pombe endelea kushinda nyumbani na mkeo umsaidie kukuna nazi na kuosha vyombo

Huji pata mchongo wa maana

Watu tunadaka michongo ya maana kwenye gambe

NB; kunywa kistaarabu
 
Fanya juu chini ufunge viwanda vyote vya pombe
 
Mtu wa kwanza anayetakiwa kuheshimika nchini ni Rais wa Nchi,historia inainyesha Marais wote waliongoza Tanzania hamna ambaye hakuwahi kutotumia pombe.

So unachotaka kusema ni kwamba kutoka Nyerere mpaka Magu hamna hata moja aliyeheshimika kisa pombe???.

Poor argument.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…