Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Aisee noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahahah Mkuu note 6pro au?kama ndiyo vipi ukaaji wa chaji Kwa matumizi ya wastani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngozi nyeusi mnajifanya mnaenda na fashion sana.. kwan kusema simu haona built in radio app ni kosa???

Unajifanya husikii redio, basi wewe ni mjinga (neno mjinga sio tusi)

Mkuu Jitu jeusi kaa ukijua Xiaomi zote zina FM Radio isipokuwa zile Chinese Version ile App ya FM Radio inakuwa haijawa installed kwenye hiyo Chinese ROM. Endelea kufanya utafiti utaelewa
 
Mkuu Jitu jeusi kaa ukijua Xiaomi zote zina FM Radio isipokuwa zile Chinese Version ile App ya FM Radio inakuwa haijawa installed kwenye hiyo Chinese ROM. Endelea kufanya utafiti utaelewa
Sawa bro, ngoja nifanye mpango sasahiv ni nunue from aliexpress mida hii.

Nataka kuchukua redmi note 6A, nikiagiza now ntapata baada ya muda gani?
 
Mkuu Jitu jeusi kaa ukijua Xiaomi zote zina FM Radio isipokuwa zile Chinese Version ile App ya FM Radio inakuwa haijawa installed kwenye hiyo Chinese ROM. Endelea kufanya utafiti utaelewa
hata chinese ipo unakuja kwenye tools kuna kuwa na app nyingi usipokuwa makini unaweza usiione. angalia yangu chinese
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…