Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ndugu hivi Inaweza ikatokea ukalipia simu ya xiaomi kwenye Store ya FANTANCY TECHNOLOGY lakini hadi siku 10 zinapita seller hajafanya shipping, kama jibu ndio
je ni kwanini hutokea hivyo, suruhisho ni nini?
Asante View attachment 1049602

Sent using Jamii Forums mobile app
FANTANCY atatuma tu mkuu, vuta subira.
Huyo seller yuko pouwaa sana japo ana hilo tatizo la kuchelewa kutuma mzigo. Hii hutokana na kuwa out of stock. Ila akipata mzigo anaship fasta.

Sent by SangaweJr
 
Wakuu hii simu ina bei gani ? Je nikiwa na 350K naweza agiza mpya nikapata ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nilichukua kwa laki mbili arobaini.
Kwa budget yako unapata Redmi 7, ni best value for your money.
IMG-20190321-WA0002.jpeg
D1_wiWfUwAIF3eN.jpeg
-18068615442028600760.jpeg
-1387918978-384079983.jpeg
 
Note 7 pro na note 7 inatofauti gani mkuu na je kuna note 7 ya 350,000 serious?
Tofauti ipo kwenye SoC, Camera sensor pamoja na hii Redmi Note 7 Pro ina P2I Waterproof wakati Redmi Note 7 haina.
Redmi Note 7:
Snapdragon 660
Samsung GM1 48MP
______________________
Redmi Note 7 Pro:
Snapdragon 675
Sony IMX 586 48MP
P2I Waterproof

Hiyo ya 350k sijasema Redmi Note 7 bali ni Redmi 7 yenyewe ina Snapdragon 632 SoC.
 
Mkuu hapa ni simu gan uliyokua unazungumzia umechukua kwa 240k??

Kama hutojali naomba uweke na specs zake

Mr.mobile

Xiaomi Redmi 6A 4G Smartphone 5.45 inch Android 8.1 Helio A22 Quad Core 2.0GHz 2GB RAM 16GB ROM 13.0MP + 5.0MP Camera 3000mAh Built-in
● Display: 5.45 inch 1440 x 720 pixels
● CPU: Helio A22 Quad Core 2.0GHz
● System: Android 8.1
● Storage: 2GB RAM 16GB ROM
● Cameras: 13.0MP rear camera and 5.0MP front camera
● Sensors: Gravity sensor, Ambilent Light sensor, Distance sensor, E-compass, Accelerator
● Features: GPS
● Bluetooth: 4.2
● SIM Card: dual Nano SIM, dual standby
 
Back
Top Bottom