Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Last edited:
Zinatambulika kama note 5 na sio note 5 pro ila tu utaona utofauti pale ni ina processor ya 636 pia picha ya simu kwa nyuma ina dual camera na zimekaa vertically wakati note 5 plus haina dual camera nyuma japo maumbo yanafanana ya simu ila zingatia hayo.
Aksante sana mkuu Nilikua sielewi hii kitu LAKINI Mwl.RCT kanielekeza na tayari nishakamilisha taratibu.
 
1532675107943.png

Aksante sana mkuu Nilikua sielewi hii kitu LAKINI Mwl.RCT kanielekeza na tayari nishakamilisha taratibu.
Manunuzi yamefanyika.

Tracking number utapewa ndani ya siku tatu.

Kwa wengine wanao hitaji kuagiza simu za XIAOMI, soma maelekezo hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Au wasiliana nami kwa whatsapp number inayopatikana posti ya kwanza kwenye hiyo link hapo juu.

Karibu
 
View attachment 819994

Ndugu Public Enemy

Mzigo umefika, Fuatisha maelekezoPM ili kuweza kuuchukua leo.

ahsante
 
Nimemchukulia Redmi 5 bi mdogo ameitumia fresh miezi miwili sasa bila ya shida,Tena alikuwa anafurahia mno.
Juzi alienda nayo kwenye sherehe akachukua video record hiyo sauti inayotoka unapoiplay video baada ya kuirekodi ni mikwaruzo mitupu.
Je wote wenye hizi redmi 5 series tuna tatizo Hilo au kwake tu?
Kama Kuna njia yoyote ya kufix naombeni msaada maana Sina amani hapa
 
Mimi natumia redmi 4x tangu mwaka 2017 - 6 iko poa mpaka sasa hakuna tatizo ila betri niliua mwenyewe kwa power bank
 
Nimemchukulia Redmi 5 bi mdogo ameitumia fresh miezi miwili sasa bila ya shida,Tena alikuwa anafurahia mno.
Juzi alienda nayo kwenye sherehe akachukua video record hiyo sauti inayotoka unapoiplay video baada ya kuirekodi ni mikwaruzo mitupu.
Je wote wenye hizi redmi 5 series tuna tatizo Hilo au kwake tu?
Kama Kuna njia yoyote ya kufix naombeni msaada maana Sina amani hapa
Mkuu simu zinazotoa sauti clear kwenye harusi zinahesabika na usitegemee simu ya bei rahisi kufanya kitu hicho. Kama ni kitu muhimu sana kwake atafute lavalier microphone
images
 
Back
Top Bottom