Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwa upande wa camera ni advanced kuliko redmi note 4x, battery kubwa 40000 mAh, screen kubwa 5.99", full screen display, ultra slim 9mm.
Anhaa kweli iko poa ila kwenye camera naona hapa A1 youtube nimecheck anamzidi 5 plus kidogo sana hili unalizngumziake mkuu
 
hii simu nimeikuta dukani maeneo ya kisii kenya inauzwa ksh32000 sawa na 650000 tsh, je hiyo bei iko poa au napigwa. simu inaitwa oppo f3
 
Attachments

  • Screenshot_20180306-141611.png
    34.7 KB · Views: 91
Hizi kwa bongo zipo kwa hawa jamaa wa Giants Electronics, hata kuna mtu amenambia Arusha zipo, ila bei yake imechangamkaa, si chini ya 550k yenye 16gb rom & 3gb ram. Wakati online unaipata chini ya 350k.
Mmhh tatizo online unaweza pigwa any time
 
Kwa yeyote anayehitaji case, charger, au protector za Xiaomi original na accessories nyingine ambazo hazipatikani nchini tuwasiliane kwa ani DM au 0759110633 WhatsApp/CALL/SMS.

Me nataka simu vipi sim hunaa
 
hii simu nimeikuta dukani maeneo ya kisii kenya inauzwa ksh32000 sawa na 650000 tsh, je hiyo bei iko poa au napigwa. simu inaitwa oppo f3
unapigwa tu mkuu. hio soc inapitwa uwezo na hadi snapdragon 615 ambayo ipo kwenye simu za 2015 kama j7 ambazo zinauzwa around 400,000 sasa hivi.

imetengenezwa kizamani na 28nm technology compare na simu za sasa zinazotumia 14nm technology.

hapo unadanganywa tu na hio ram kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…