Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Google Pixel 3a brand new inauzwa
32 gb, ram 4 Gb
Android 11
Best camera phone 2018
600k
piga 0682521021
 
Nenda call setting incoming/outgoing call kuna sehem inasema proximity sensor weka off nusu niiuze simu yangu

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Redmi note 9S 6GBRAM+128GB ROM, snapdragon 720G, 5020 mah, 48MP rear camera. Mkuu ushawahi muagizia mtu?

Nimecheki review yake inaonekana iko far much better.
Mkuu nahitaji hii simu itanigharimu shs ngapi?? na kwa hapa bongo naweza kuipata katika duka lipi??
 
Mkuu nahitaji hii simu itanigharimu shs ngapi?? na kwa hapa bongo naweza kuipata katika duka lipi??
Kwa hapa Tz sina taarifa ya kutosha zinakopatina, hua nasoma comment za baadhi ya member wanasema kuna maduka wanauza. Mimi niliagiza online Aliexpress.

Beti iko tofauti kila muda kulingana na exchange rate ya siku unafanya manunuzi, pia inategemea na order yako, mfano una nunua simu peke yake au na vitu kama cover, glass film nk. Kwa kifupi bei ya simu peke yake inaanzia USD 195, na leo nimeona imepunguzwa kwa 25%. Kumbuka hiyo bei ni simu tu hapo bado haijawekwa shipping fee ambayo ni kama 10$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…