Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,871
2,000
Wakuu nna changamoto hapa,
Hili tatizo ni kama mara ya pili linajitokeza kwangu. Ni hivi, unakuta hujafanya chochote kwenye simu maybe ulikua unaangalia movies tu then ukaicha simu. Kama mimi last nite nimeshinda na tiktok then nikaamua kulala. Asubuhi nimeamka naingia WhatsApp nakuta baadhi ya watu nliokua nachat nao jana usiku majina Yao yametokea kama namba (that means the contacts don't exist Kwa phone book yangu). Yaan nikawa na Kazi ya kuzirudisha manually kwa kuangalia profile picture na mpaka sasa sijamaliza. Je, hii inasababishwa na nini na how can I resolve it? Please help
 
dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
801
1,000

Unatumia Chinese au Global?
 
dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
801
1,000
How do you tell?
Global version inakuja na global ROM, Chinese version inakuja na China ROM.
Kwa maana kwamba global ROM inakuja ikiwa na full support ya google services. Yaani ile unanunua inakua tayari na playstore.

Ila Chinese version yenyewe inakua haina Google services (though unaweza kuweka manually). Inakuja na app store ya kichina inaitwa Get Apps.

Kingine pia box la global linakua na label ya global, na limeandikwa English tu.
images%20(1).jpg
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
2,466
2,000
Nina Samsung A20 ambayo kwa performance haifikii hata robo Huawei honor 8c, mind you 8c ni Moja ya simu dhaifu Sana kwenye line up ya simu za huawei
The only thing Samsung are good at ni bei za kuruka, surprisingly fanatics wa bei hizo mpo
Samsung display vs mi10
Screenshot_20200925-124315.jpg
Screenshot_20200925-124549.jpg
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,871
2,000
Global version inakuja na global ROM, Chinese version inakuja na China ROM.
Kwa maana kwamba global ROM inakuja ikiwa na full support ya google services. Yaani ile unanunua inakua tayari na playstore.

Ila Chinese version yenyewe inakua haina Google services (though unaweza kuweka manually). Inakuja na app store ya kichina inaitwa Get Apps.

Kingine pia box la global linakua na label ya global, na limeandikwa English tu.
View attachment 1580330
Hii ni global ROM mkuu, imekuja na Google playstore preinstalled. Naomba maelekezo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom