Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hawa M-PESA MasterCard ambao ndiyo njia rahisi kufanyia manunuzi miongoni mwetu, naona wameanza kuzingua au wanafanya makusudi ili watuibie kiaina!!
Imenitokea zaidi ya Mara mbili kuhamisha pesa kutoka card kwenda M-PESA ila cha ajabu hela inakatwa kwenye card lakini haiingii kwenye M-PESA.
 
Hapo kilichobaki ni kuwasusia huduma zao na kurudi Bancabc na Equity maana imeshakuwa shida sasa
 
Haha, jamaa nimewaacha kitambo sana... sahivi nipo na exim, bancabc na equity kwa miamala ya PayPal.
Hawa M-PESA MasterCard ambao ndiyo njia rahisi kufanyia manunuzi miongoni mwetu, naona wameanza kuzingua au wanafanya makusudi ili watuibie kiaina!!
Imenitokea zaidi ya Mara mbili kuhamisha pesa kutoka card kwenda M-PESA ila cha ajabu hela inakatwa kwenye card lakini haiingii kwenye M-PESA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa anatuma toka uchinani
Screenshot_20191128-214004_Instagram.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea system yao ina mushkeli nimeamua kitoa hela zilizobaki cha ajabu wamezilima na M-PESA hazijaingia.
Kwakwelili siwaelewi
Huo ni wizi wa kimacho macho!!
Kama kuna hitilafu kwanini wasisimamishe transaction?
Yaani pesa zinakatwa tu haziendi ulinapokusudia na wala hazirudi kwako.
Kwanini isiwe hela zinaingia kwenye M-PESA alafu kwenye card zibaki vilevile hazipungui au unapohamisha M-PESA kwenye card ziongezeke tu huku lile salio lako la M-PESA likibaki vile vile?
Why hitilafu ilenge tu pesa za wateja na sio zao?
Ukijiuliza maswali hayo utapata jibu kwamba hapa kuna mchezo unafanyika makusudi ili kutuibia wateja maana siyo wote watakao fuatilia na hata ukifuatilia utapotezewa muda tu coz wahudumu wenyewe wa voda shop wengi hawana uelewa wa kusolve hizi case
 
Back
Top Bottom