Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Jinsi ya kuweka Google Play kwenye Simu za Xiaomi

Unatakiwa kukubali simu yako ipokee apps kutoka unknown sources, halafu unatakiwa ku install Google services zinazohitajika ili kuifanya simu yako ipokee apps za Google.

●Fungua 'Settings app'
●Nenda 'Additional settings'
●Fungua 'Privacy'
●Badili kwa kuweka 'Unknown sources'
●Fungua Mi App Store
●Search 'Google'
●Install app ya juu kabisa iliyotokea
●Itakapomaliza ku install ifungue
●Bonyeza duara kubwa la bluu kwenye screen
●Installer itafunguka na itaendelea kufanya installation ya baadhi ya services zinazohitajika: Google services framework, Google Account Manager, Google Play Services, Google Calendar Sync, Google Contacts Sync, na hatimaye Google Play Store. Fanya ku install kila moja unapoelekezwa
●Punde itakapomalizika ku install Play Store ifungue
●Ingiza anuani yako ya Gmail na password na ukubali permissions
●Google Play sasa imewekwa kwenye simu yako, na unaweza ku install apps kutoka hapa kama vile unavyofanya kwenye simu yoyote.

Courtesy of the Tech AdvisorView attachment 1285334
Ur tricky useful asante
 
Asee kuna parcel nimeagiza lkn naambiwa mpaka leo ipo airplane kama siku ya nne .
IMG_20191209_192037.jpeg
 
Tukumbushane shipping methods mzuri ili wageni wasipate shida, maana uzi umetembea sana.
 
Asee kuna parcel nimeagiza lkn naambiwa mpaka leo ipo airplane kama siku ya nne .View attachment 1286834
Pia sio kila tracking number ipo hai mizigo mingine tracking number hufika sehemu ina ganda hapo hadi siku unaitwa posta kuchukua mzigo wako.

Pia update ni ya tarehe saba leo ni tarehe tisa ni muda mchache sana kuwa na subira mkuu.
Mzigo kukubaliwa na ndege haimaanishi ndio umeshaondoka. Lazima usubiri ratiba ya hiyo ndege hadi siku inayo ondoka.

Online business inahitaji uvumilivu sana mkuu.
 
Daah ina stua Sana... Mwaka juzi wakati nimeanza kununua vitu AliExpress mwezi Kama wa 11 hivi nilinunua simu 2 hivi kipindi hicho Xiomi zipo juu kweli. Nilitupa Kama 500$ daah yaani mzigo unaonesha umefika Tanzania lakini mwisho wa siku naambiwa na watu WA posta bag lilokuwa na mzigo Wangu kuna baadhi ya mzigo imepotea ikiwemo wangu. Sasa sijaelewa hii tracking number huwa inasoma vipi?

Kwa hiyo Kama mzigo hata ukipotea huko njiani tracking number ita confirm vipi mzigo umefika hapa Tanzania.? Nafikiri watu wa shipment ya Tanzania ndio Wana confirm kwenye system.

Ila naona miezi hii ndio mizigo mingi hupotea Sana kuliko miezi mingine sijui kwanini?

kuna watanzania Wenzenu tupo china tunafanya hizi mishe za kutuma simu nadhani ni njia sahihi na isio na usumbufu N.b agiza kwa mtu unaemfahamu
 
Xiomi inakuja bila hata app moja ya Google? Oppo pia nadhani ina tabia kama hii sasa sijajua kama inasapoti google apps
 
Pitia hiyo post @jokamala

Back
Top Bottom