Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Una bahati mie kaniambia mhudumu wameelekweza kila mzigo hata uwe 0.1 usd wanatoza 2350.

Na wanatoa electronic receipt kabisa. Ina hainisha malipo kuwa ni ya small packet fee.
Last week nimeenda pale posta sijalipa kitu, nimechukua parcel Yangu free,, sijajua wanatumia vigezo gani.. Ila seller aliniandikia thaman ya Mzigo Dollar 5 nadhani ndo sababu,, wakati Mzigo ulikua Na thaman ya dollar 25.
 
Sijui ilikuwaje kwako lakini juzi nimechukua mizigo yangu tofautitofauti, kama kawaida nimechukua bila makato yoyote pale posta kuu ya DSM
Una bahati mie kaniambia mhudumu wameelekweza kila mzigo hata uwe 0.1 usd wanatoza 2350.

Na wanatoa electronic receipt kabisa. Ina hainisha malipo kuwa ni ya small packet fee.
 
Confirmed.
Mzigo Wangu moja ume miss. Japo juzi nilipata update kuwa upo Tanzania. Na nikapata update kuwa.. accepted by last mile carrier.
Screenshot_2019-11-15-15-16-04-296_com.alibaba.aliexpresshd.jpeg
 
Nilisha fungua before kutokana kupata mashaka kuwa mzigo utakuwa umepotea. Nilicheki na jamaa wa posta kuna fomu kanitumia just kapiga picha. Kuna Kama track number zingine mbili. Wameituma Singapore post.
Kwahiyo umeshafungua dispute kurudishiwa pesa?
 
Ila Mimi nataka seller anitumie tena simu. Maana masuala ya kurefund hela, hela zinapungua Sana. Bora Equity Bank wanaweza kukupa hela yako yote. Ila Mpesa MasterCard card lazima upate pungufu.
Nilisha fungua before kutokana kupata mashaka kuwa mzigo utakuwa umepotea. Nilicheki na jamaa wa posta kuna fomu kanitumia just kapiga picha. Kuna Kama track number zingine mbili. Wameituma Singapore post.
 
Ila Mimi nataka seller anitumie tena simu. Maana masuala ya kurefund hela, hela zinapungua Sana. Bora Equity Bank wanaweza kukupa hela yako yote. Ila Mpesa MasterCard card lazima upate pungufu.
Mkuu Equity hela inapungua zaidi kuliko hata mpesa mastercard.
 
Dah jamaa anatisha sana alafu hayupo open nini kimetokea, yan mzigo waseme kabeba last mile carrier then umepotea? Sasa huyo last mile carrier alikabidhiwa nini kutoka kwa dar es salaam inward office of exchange. Anyway tusubiri aje ajibu swali lako.

Maana nami ule mzigo wangu uliokaa sana jana umetua na upo kwa last mile carrier
Umejiridhisha vipi kuwa mzigo umepotea mkuu...
 
Maana mizigo ilikuwa 2. Ajabu mmoja ndio umefika lakini mwingine sijaupata. Ndio ikabidi nipige simu tena posta. Walichonijibu nilichoka. Istoshe jamaa kanitumia mpaka fomu inaonesha mzigo ume miss. Maana mzigo Wangu kutokana na shipment niliyotumia ilibidi uwe umefika kitambo.
Dah jamaa anatisha sana alafu hayupo open nini kimetokea, yan mzigo waseme kabeba last mile carrier then umepotea? Sasa huyo last mile carrier alikabidhiwa nini kutoka kwa dar es salaam inward office of exchange. Anyway tusubiri aje ajibu swali lako.

Maana nami ule mzigo wangu uliokaa sana jana umetua na upo kwa last mile carrier
IMG_20191115_185052.jpeg
 
Samahani mkuu huyu last mile carrier ndo nani?

Back
Top Bottom