Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hii feature mbona ipo kitambo tu.. Mi natumia daily na Sina hata hiyo miui 11 bado.
Unazungumzua power saving mode. Mimi si zungumzii hiyo. Angalia moja ya features zilizoongezwa kwenye MIUI 11 ni betri saver mkuu angalia hiyo video utaelewa ninacho zungumzia. Labda miui 10 unayotumia wewe na ninayo tumia mimi zinatofauti.
NB: Acha ile feature inayofanya betri kuwa rangi ya orange. Hii ni nyingine.
 
Unazungumzua power saving mode. Mimi si zungumzii hiyo. Angalia moja ya features zilizoongezwa kwenye MIUI 11 ni betri saver mkuu angalia hiyo video utaelewa ninacho zungumzia. Labda miui 10 unayotumia wewe na ninayo tumia mimi zinatofauti.
Ila miui 11 global haina hiyo feature ya ultra power saver mode ipo ile ya zamani tu. Kwenye china ROM ndio ina hiyo option.
View attachment 1265739
 
Huku mtaani kwangu hii simu yangu Redmi7 wanaiona Kama iPhone ya Android mkuu, waishikashika na kuigeuzageuza waitazamapo Yani ni kanakwamba hawajawahi kuiona....kumbe kweli walikuwa hawajawahi Iona
Niliona mbali sana hap nimekutana na mwamba mmoja kutoka China Mr nan Shan kaiona tu xaiomi yangu kakubali kaniuliza uliwahi fika china au umeipata wapi? Hahaaaaasss
 
Nauza redmi note 7,
Rangi nyeusi,
Rom 64gb
Ram 4gb
Imetumika miezi miwili, haina shida yoyote charger na box lake vipo.

Bei 350,000/= fixed.

Kwa anaeihitaji anichek kwa 0716080194 View attachment 1265803
IMG_20191118_130418.jpeg
 
hapa nikutumia tu Singapore post. Hawa China registered mail wehu tu kama wehu wengine. Yani mpka leo bado bila.

Na nna mzigo wa dada wa posta nilimpa ofa akiona yangu mizigo yangu inafika yake niliomuahidi bado atakuja apeleke cargo TR_A bure
Umetoa takrima eee
 
Mzigo ulishafika na tayari posta wameshaupa namba

Subiri kesho utumiwe msg na posta, ukiona kimya nenda Posta keshokutwa ukachukue mzigo wako, nenda na kitambulisho chenye jina sawa na lililoandikwa kwenye addres ya mzigo
Wadau nimepata hii update delivery failed,,,
Je inamaana mzigo ndo umepotea,au nifanye nini wadau maana sielewi kabisa.

SangaweJr

Shaffin Simbamwene

View attachment 1265852
 
Back
Top Bottom