Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Last week nimeenda pale posta sijalipa kitu, nimechukua parcel Yangu free,, sijajua wanatumia vigezo gani.. Ila seller aliniandikia thaman ya Mzigo Dollar 5 nadhani ndo sababu,, wakati Mzigo ulikua Na thaman ya dollar 25.
Nimelipa jana 2350 per parcel Kijitonyama Post office
 
Kwa bei Hiyo na aina ya mzigo washajua hakuna kitu
Jaribu uagize simu Bei kuanzia 65USD uone mchezo wake
 
Credit Credit to Mr. Mobile

Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.

Leo hii nimeiweka mkononi.

Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.

Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.

Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.

Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma

Leo hii nimeupokea Manyoni.

Badae kidogo nitatuma picha.

Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.

Thanks a lot Mr. Mobile

Mungu akubariki.
Welcome to the world of Redmi

Mr. Mobile is the best...... Mungu amzidishie kwa kweli....
 
Nimelipa jana 2350 per parcel Kijitonyama Post office
Ni kweli, juzi tu nimepokea mzigo(saa) Posta nimetozwa 2350 nikamuuliza muhudumu kama hiyo tozo ni flat rate akanijibu ndiyo, hapa najipanga kuvuta dude la LG smartphone nipime imani yao wasije kulitamani likapotelea lisikojulikana. Lkn so far nimeshaagiza parcel za zaidi ya 50k zote zinanifikia salala tu.
Niwatoe hofu tupunguze uoga wa kuwa na mawazo ya kutapeliwa muda wote tu, mambo sasa hivi yapo angalau vzr kuliko kipindi cha nyuma wakati hizi mambo za online bizn zinanaanza.
Binafsi nimeshakuwa sugu kusubiri mzigo wiki 3 bila wasiwasi kwani najua ntapata kitu cha uhakika na brand nyuuu tena cha kipekee sio yebo yebo.
Online purchasing kweli kwangu ni kimbilio
 
Msaada kwa wale watumiaji wa mpesa master card
Je nikifanya refund naweza itoa pesa yangu kwa kutumia mpesa?
Ndiooo,,pesa inarudi kwenye mpesa master card then unaihamisha kuipeleka account yako ya mpesa kawaida tu halafu unaeza kuitumia utakavyo ikiwemo na kuitoa kabisa
 
Delivery On Our Every Promise, Karibu sana.
Credit Credit to Mr. Mobile

Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.

Leo hii nimeiweka mkononi.

Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.

Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.

Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.

Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma

Leo hii nimeupokea Manyoni.

Badae kidogo nitatuma picha.

Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.

Thanks a lot Mr. Mobile

Mungu akubariki.
 
Hivi inatakiwa ufungue Dispute kabla ya muda wa delivery au baada ya muda wa delivery kuisha???
Kama mzigo ulishatumwa na seller basi ni baada ya siku 60. Hapo kuna kuwa na siku 15 za purchase protection. Zikipita hizo hujafanya chochote seller anapewa pesa yake mnakuwa mmemalizana.

Kama seller bado hajatuma mzigo, hapo ni muda wowote una cancel tu order Ila hadi seller akubali ku cancel order, maana waweza cancel order kumbe ndio alikuwa ana process ili a tume mzigo.
 
Back
Top Bottom