BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,060
- 2,115
Sellers huwa wazito kukujibu, Ila wao sasa wakiwa na shida na wewe wanakuchangamkia balaa. Mi niliagiza Xiaomi Mi Store, yalibaki kama masaa 3 muda wa kuprocess kuisha na ye bado hajatuma mzigo, mbona nilipigiwa WhatsApp call saa 12 asubuhi.
Ipi ina mediatek?
Hii ni bei ya kutoa mizigo kule RDP (mizigo ya kodi) , mizigo ya DP unachukua kwa bei ile ile ya 2350 na mizigo ya FGN unachukua bure kabisa... Nimetoka huko Alhamis kuchukua mizigo yangu.Kama ni kweli basi itakuwa ndio mwisho wa kuagiza vitu vidogo vidogo kama SD card na flash au ikibidii labda kuanzia 5pcs !!
Mkuu tulia kidogo hadi tarehe 8 wakimaliza hii sikukuu yao fantacy tech atakuwa ameshakupa jibu, au pitia kwenye comments zile za wengine wenye order kama yako na unaweza kukuta mmoja wao kaandika declared value.Shida namtafuta seller fantacy kupitia profile yake ya AliExpress ili nipate Bei aliyoandika ila hajajibu hadi sasa
Sasa sijui kuna njia nyingine naweza tumia kumpata
Redmi series zenye super amolef hakuna,labda uende kwenye mi series.
Naomba unitajie simu ya xiaomi au Oppo ya 350-450tsh online, yenye super amoled screen, inayokubali bands zote.
Vp Xiaomi note 7 inayo s-Amoled.
Mkuu tulia kidogo hadi tarehe 8 wakimaliza hii sikukuu yao fantacy tech atakuwa ameshakupa jibu, au pitia kwenye comments zile za wengine wenye order kama yako na unaweza kukuta mmoja wao kaandika declared value.
Kuna mdau aliomba ufafanuzi hizo DB, FGN RDP zinakuwaje vigezo gani hutumika kupewa hizo lebo?Hii ni bei ya kutoa mizigo kule RDP (mizigo ya kodi) , mizigo ya DP unachukua kwa bei ile ile ya 2350 na mizigo ya FGN unachukua bure kabisa... Nimetoka huko Alhamis kuchukua mizigo yangu.
Mkuu tulia kidogo hadi tarehe 8 wakimaliza hii sikukuu yao fantacy tech atakuwa ameshakupa jibu, au pitia kwenye comments zile za wengine wenye order kama yako na unaweza kukuta mmoja wao kaandika declared value.
Mzigo kuwa FGN au DP inategemea na tracking number utakayopewa, nikimaanisha kama seller atakutumia mzigo kawaida au kama Regista.Kuna mdau aliomba ufafanuzi hizo DB, FGN RDP zinakuwaje vigezo gani hutumika kupewa hizo lebo?
Kama ni kweli basi itakuwa ndio mwisho wa kuagiza vitu vidogo vidogo kama SD card na flash au ikibidii labda kuanzia 5pcs !!
Thanks.Mi A3, Oppo C2
Mi 9 se ipo vizuri zaidi kwenye kila idara.Thanks.
Kati ya hizo ulizozitaja na hii ya Mi9 se ipi ni poa kwenye nyanja zote?
Asante mtaalamu wetu.Mi 9 se ipo vizuri zaidi kwenye kila idara.
Naomba unitajie simu ya xiaomi au Oppo ya 350-450tsh online, yenye super amoled screen, inayokubali bands zote.
Vp Xiaomi note 7 inayo s-Amoled.
showme.inatamkwaje hiyo "Xiaomi"