Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
2,024
Points
2,000

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
2,024 2,000
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.

BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.

KARIBUNI
 

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,360
Points
2,000

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,360 2,000
Mtaalamu wetu nimeagiza mzigo huu hapa, je unauelezeaje kwa jinsi unavyoufahamu labda?View attachment 1225969View attachment 1225971View attachment 1225972View attachment 1225973View attachment 1225975

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
Ni simu ambayo nimebahatika kuitumia kwa muda kidogo, kwa bei yake hautojutia kuimiliki, ipo vizuri kuanzia kwenye performance kwa mid users, build quality pia camera nzuri kwa bei hiyo naona ni bora sana. Kwa watu waliozoea hizi simu pendwa za Tekno wakiiona lazima udenda uwatoke yaani kila mtu alikuwa akiiona anauliza hii ni simu gani?? Na wanaazima wapigie picha. Hautojutia hakika! Kwenye Mapungufu yapo ila kwa bei hiyo naweza kusema haina mapungufu.
 

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
8,005
Points
2,000

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
8,005 2,000

wise boi

Senior Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
164
Points
500

wise boi

Senior Member
Joined Aug 9, 2017
164 500
Redmi note 7 Pro inauzwa

Ram 6GB
Storage 128 GB
Battery 4000mAh

Bei 600,000 Tsh.

Imenunuliwa July mwishoni.
Haina scratch yoyote.
Kila kitu kipo, utapewa mpaka risiti.

Sababu ya kuuza:Nataka hela nimefulia
Simu iko Dar

Mawasiliano:natokahapa@gmail.com au PM
View attachment 1226353View attachment 1226354View attachment 1226355View attachment 1226356View attachment 1226357View attachment 1226358View attachment 1226359View attachment 1226360
Mkuu nipo nje ya mada kidogo
Hiyo font nimeipenda inaitwaje?
Umeipata wapi?
 

Forum statistics

Threads 1,353,585
Members 518,356
Posts 33,078,631
Top