Wale wenye ndevu tukutane hapa

Ngoja niweke mambo sawa hapa kidogo,ili kila mtu ajiweke mahali anapo husika.

Kuna watu wa sampuli tatu, mmoja kati ya hao anajifananisha na wanawake.

1. Mwenye ndevu,kisha akazifuga na kuzitunza.
2. Ambae ni mwanaume lakini hakujaaliwa ndevu kama maumbile yake, huyu halaumiwi sababu hili ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wake.
3. Mwenye ndevu lakini anazinyoa huyu anajifananisha na mwanamke, sababu kiasili mwanamke huwa hana ndevu, na ukimkuta anazo ujue hilo sio jambo la kawaida.

Ziada inafata .......
Kunyoa ni lazima.. sometimes ukiangalia namna zilivyo ota unajiona kama chizi .. every week or two weeks lazima saloon ihusike

mimi hizi za juu , za kuitwa mustache, hazina uwiano sawa kwenye ujuaji , pemben kulia na kushoto zinakua haraka mara tatu zaid ya eneo la kati , yani unakua kama kituko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee cjui ni kwann kwenye edges moustache unakua haraka kulko kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja namimi nichangie hapa
Japo ninazo kidogo kidevuni na Sharubu za babu
 
Mwanaume nduvu bhana kama ww ni mwanaume na hauna ndevu usitudanganye hapa huwa unajiona mwanamke na kuvuta na kujilaumu sana kwann Mungu hajakupa ndevu unatamani hata kuziotesha kwa fedha sema ndo huna hizo hera tu
20200208_134756.jpeg
 
Back
Top Bottom