Wale wenye ndevu tukutane hapa

Ngoja niweke mambo sawa hapa kidogo,ili kila mtu ajiweke mahali anapo husika.

Kuna watu wa sampuli tatu, mmoja kati ya hao anajifananisha na wanawake.

1. Mwenye ndevu,kisha akazifuga na kuzitunza.
2. Ambae ni mwanaume lakini hakujaaliwa ndevu kama maumbile yake, huyu halaumiwi sababu hili ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wake.
3. Mwenye ndevu lakini anazinyoa huyu anajifananisha na mwanamke, sababu kiasili mwanamke huwa hana ndevu, na ukimkuta anazo ujue hilo sio jambo la kawaida.

Ziada inafata .......
 
Mwanaume ni ndevu mengine ziada tuuuu. Ka huna ndevu sioni tofauti yake na demu na ujue sasa hivi wapo mademu wana ndevu za haja
Kuwa na ndevu wakat account haisomi madorari Ni takataka Kama takataka zingine

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Ngoja niweke mambo sawa hapa kidogo,ili kila mtu ajiweke mahali anapo husika.

Kuna watu wa sampuli tatu, mmoja kati ya hao anajifananisha na wanawake.

1. Mwenye ndevu,kisha akazifuga na kuzitunza.
2. Ambae ni mwanaume lakini hakujaaliwa ndevu kama maumbile yake, huyu halaumiwi sababu hili ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wake.
3. Mwenye ndevu lakini anazinyoa huyu anajifananisha na mwanamke, sababu kiasili mwanamke huwa hana ndevu, na ukimkuta anazo ujue hilo sio jambo la kawaida.

Ziada inafata .......
Basi wanaojifanya wanawake Ni wengi sana. Nitataja wachache

1 Paul makonda
2 Trump Donald
3 Christiano Ronaldo
4
5
6

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Mwanaume ndevu bana asikwambie mtu "Eti mwanaume unaamka asubuhi hata ndevu huna, unaosha uso utafikiri unaosha embe"

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Haya twenden kazi.
Wengine ndevu kwetu ni za kufikia yani.
20200326_101754-1-1-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 20200326_101754-1.jpeg
    20200326_101754-1.jpeg
    24.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom