Wale wengine wanne waliofariki kwenye helkopta, wanazikwa lini?

Wale wengine wanne waliofariki kwenye helkopta, wanazikwa lini?

Kwan mifupa inapimwa DNA? Kwa hali Ile ya kuokoteza mabaki KWENYE mifuko .Utajuaje haya mabaki ni ya frani na haya ni ya frani . kiuharisia ni ajali mbaya sana .
Lakini Kuna namna ambavyo ,vyombo vya habali vinakosea sana.
Vyombo vya habali mara nyingi vinaandika taarifa kwa muktadha wa kibiashara zaidi na kusahau utu,
Wapumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom