Wale wengine wanne waliofariki kwenye helkopta, wanazikwa lini?

Wale wengine wanne waliofariki kwenye helkopta, wanazikwa lini?

Ulipata kusikia mazishi ya dereva wa ajali ya Salome Mbatia
Imebidi niutafute huo uzi..
 
Imebidi niutafute huo uzi..
Dereva wa Salome Mbatia
 
Inafikirisha, kwa hiyo inawezekana wao hawakufa? Kwa sababu ata katika ukusanyaji wa mabaki, walitajwa marehemu wawili tu
Wale wengine huchukuliwa kama si binadamu, kwenye ile ajali ya Salome Mbatia dereva wake pia alifariki lakini haijuilikani mwili wake ulirudishwaje kwao Iringa na mazishi yake yaligharamiwa na nani
 
Back
Top Bottom