Hiyo kwenye blue ninayo so i would advise mtu aangalie hiyo maana ina vituko ni balaaHebu tafuteni series zifuatazo na believe me, you will have the best wikend ever...............Wikend njema wadau....................
- Californication
- Are we there yet?
- Lie to me
Umeona mkuu! Hank Moody na familia........ mi nimewatch mpaka season 3 natafuta season 4 now. Are we there yet pia ina vituko balaa halafu iko very recent yaani vitu vinavyoongelewa humo kama reference unakuwa unavijuaHiyo kwenye blue ninayo so i would advise mtu aangalie hiyo maana ina vituko ni balaa
Huyu jamaa kwa maisha ya kibongo huku wangekuwa wameishamtoa nduki lol, that family haina mtu mwenye afadhali wote they are nuts, Vampire Diaries Season 3 it's out bro itafuteUmeona mkuu! Hank Moody na familia........ mi nimewatch mpaka season 3 natafuta season 4 now. Are we there yet pia ina vituko balaa halafu iko very recent yaani vitu vinavyoongelewa humo kama reference unakuwa unavijua
Dah kwanza watu wangeshamgeuza kichaa kama angekuwa huku. Ila alikuwa na mwanamke mzuri balaa ingawa wote na mtoto wao walikuwa saa mbili kasorobo.Huyu jamaa kwa maisha ya kibongo huku wangekuwa wameishamtoa nduki lol, that family haina mtu mwenye afadhali wote they are nuts, Vampire Diaries Season 3 it's out bro itafute