Wale wapenzi wa MOVIES Wikend hii......

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Hebu tafuteni series zifuatazo na believe me, you will have the best wikend ever...............
  1. Californication
  2. Are we there yet?
  3. Lie to me
Wikend njema wadau....................
 
Hiyo kwenye blue ninayo so i would advise mtu aangalie hiyo maana ina vituko ni balaa
 
Umeona mkuu! Hank Moody na familia........ mi nimewatch mpaka season 3 natafuta season 4 now. Are we there yet pia ina vituko balaa halafu iko very recent yaani vitu vinavyoongelewa humo kama reference unakuwa unavijua
 
Huyu jamaa kwa maisha ya kibongo huku wangekuwa wameishamtoa nduki lol, that family haina mtu mwenye afadhali wote they are nuts, Vampire Diaries Season 3 it's out bro itafute
 
Dah kwanza watu wangeshamgeuza kichaa kama angekuwa huku. Ila alikuwa na mwanamke mzuri balaa ingawa wote na mtoto wao walikuwa saa mbili kasorobo.
Yeah nimeiona right now namalizia THE EVENT halafu i will go that. Itafute na Li to me inafundisha sana wenyewe wanaita Deception Techniques na namna ya kumjua mtu anayedanganya
 
Back
Top Bottom