Wale wapenzi wa mchezo wa Mieleka WWE

Wale wapenzi wa mchezo wa Mieleka WWE

Plesis

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
948
Reaction score
862
Wapenzi wa WWE wrestling tupeane updates kuhusu WWE inavyoendelea. Baada ya +Payback) John Cena kumshinda Ryback in three stages of hell, Sasa watu wanaelekea katika pay-per-view ya Money in the bank. Rob Van Dam naye anarudi WWE akitokea TNA. tupeane updates wakuu
 
if you smeeeeeeeeeeeeeeeeeeel what the Rock is Cooking....
 
hahaha! jamaa kanyang'anywa WWE championship na CENAtion. ndo kasepa tena
 
Mchezo ambao matokeo ni pre-determined na watu wanashangilia...
 
Wadau,
Mimi ni mfuatiliaji wa habari na hoja mbalimbali hapa jf.
Lakini cha ajabu sijaona mahali ambapo michezo yangu pendwa `mieleka' (wrestling) inajadiliwa kwa kina kama ambavyo zinajadiliwa issues za sports and entertainment.
Kwa mnaoielewa vzr jf tatizo ni nini?
Ahsanteni.
 
Kwa mfuatiliaji yeyote wa wwe: hivi kitu gani kimewatokea daniel brian(wwe champion) the shield against the COO,Triple H?
 
Kwa mfuatiliaji yeyote wa wwe: hivi kitu gani kimewatokea daniel brian(wwe champion) the shield against the COO,Triple H?

Mie siwafuatilii sana kiundani.
Ila nampenda sana Ray Mystrerio, John Cena (U C Me) na wengine kama Big Show, Batista, Undertaker etc
 
Ianzisha hiyo thread sasa, mi mwenyewe nataka kujua kwa nini Edge alistaafu WWE..
 
mieleka ni mchezo wa maigizo{uongo}

mkuu golota,mchezo huu si wa kuigiza ni halisi kabisa na vyuo vyake vipo na wanakutahadhalisha "don't try this at home,at school or anywhere"
 
Mie siwafuatilii sana kiundani.
Ila nampenda sana Ray Mystrerio, John Cena (U C Me) na wengine kama Big Show, Batista, Undertaker etc

katika list yako hapo juu alobaki strong and active ni john anthon felix cena,batista(fired),undertaker(retired) ray misterio-619 mchovu ile mbaya na show(undergoing surgery)
 
katika list yako hapo juu alobaki strong and active ni john anthon felix cena,batista(fired),undertaker(retired) ray misterio-619 mchovu ile mbaya na show(undergoing surgery)

The deadman ame retire lini mkuu?? Au ni baada ya ile streak ya 21-1?
 
Kitu UFC(Ultimate Fighting Champion), MMA na FFC. Hii inapatikana Abu dhabi au FOX. Kama vp waweza google.Huko ni balaa kaka kichapo live bila chenga.
 
Wadau,
Mimi ni mfuatiliaji wa habari na hoja mbalimbali hapa jf.
Lakini cha ajabu sijaona mahali ambapo michezo yangu pendwa `mieleka' (wrestling) inajadiliwa kwa kina kama ambavyo zinajadiliwa issues za sports and entertainment.
Kwa mnaoielewa vzr jf tatizo ni nini?
Ahsanteni.

Mieleka ni mchezo wa kuburudisha na mara zote matukio hupangwa na hata mshindi anapangwa najua utakataa nakushauri ujaribuu kuufuatilia kwa ukaribu
 
Back
Top Bottom