Mcheza mieleka Mark William Calaway (Undertaker) astaafu kucheza mchezo huo baada ya kushiriki kwa miaka 30

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,811
4,533
Mchezaji maarufu wa mchezo wa mieleka- Undertaker amethibitisha rasmi kujiuzulu kutoka WWE baada ya miaka 30.

Aliingia ulingoni kwa mchezo wa mwisho katika mchezo wa mwisho wa Survivor Series Jumapili usiku, ambapo aliuhutubia umma wa mashabiki wa WWE Universe kwa mara ya mwisho.Images

Wakati wa hotuba yake, Undertaker ambaye jina lake halisi ni Mark Calaway –alieleza ni kwanini ameamua kujiuzulu.

"Kwa miaka 30 nimekuwa nikiingia ndani ya ulingo huu taratibu na kuwaangusha watu mara kwa mara," alisema.

"Sasa wangu muda umefika. Muda wangu umefika wa kumuacha Undertaker apumzike... kwa ... amani."Images

Calaway anajiuzulu akiwa ndiye mchezaji bora wa WWE kuwahi kushuhudiwa katika mashindano hayo na amekuwa ulingoni kwa miongo mitatu na atakumbukwa na mashapiki wake daima.
===
The Undertaker said his "Final Farewell" at tonight's WWE Survivor Series pay-per-view.

Under.jpg

The farewell segment for The Undertaker wrapped WWE's "30 Days of The Deadman" to celebrate Taker's 30th anniversary celebration. The segment aired after tonight's main event and featured several WWE Superstars and Hall of Famers - Shane McMahon, Big Show, JBL, Jeff Hardy (who had Taker's symbol painted on his face), Mick Foley, The Godfather, The Godwinns, Savio Vega, Rikishi, Kevin Nash, Booker T, Shawn Michaels, Ric Flair, Triple H, and Kane.

After these Legends were introduced by Mike Rome, a lengthy video package aired with highlights from Taker's 30 year career in WWE, featuring comments from Triple H, Shane, WWE Hall of Famer Steve Austin, and John Cena. Rome then introduced WWE Chairman & CEO Vince McMahon, who came to the ring to give a great introductory speech for The Deadman.

Vince talked about how Taker's run will never be duplicated, and how he struck fear in the hearts of his opponents, while entertaining a global audience in WWF and WWE. Vince added that Taker's legacy will live on eternally, before introducing him. A lengthy entrance for Taker then took place with The Deadman making his way to the ThunderDome ring.

Taker talked about how he's made that slow walk to the ring and laid people to rest time & time again for 30 long years, but now his time has come. WWE piped in several "thank you Taker!" and "Undertaker!" chants throughout Taker's in-ring segment. After Taker spoke for a minute or two, he dropped to one knee for his signature pose as the ring filled with fog. A graphic of the late WWE Hall of Famer Paul Bearer appeared on the wall, with Bearer holding the urn up. Taker looked up at Bearer and continued his pose on one knee while a single spotlight was put on his position in the ring. The bells started to toll once again as Taker's music started back up. He then posed with the thunder & lighting going off, and cut his own throat in the middle of the ring. The former WWE Champion then marched up the ramp, stopped to look back at the ring, and turned back around to raise his fist in the air. Many expected WWE to pull of some sort of angle, perhaps with a WWE Superstar attacking Taker, but that never happened as he continued to the back and the Survivor Series pay-per-view went off the air.

The 2020 Survivor Series pay-per-view marked Taker's 30th anniversary as he originally debuted at the 1990 Survivor Series pay-per-view. There is no word yet on what WWE has planned for his future, if anything, but we will keep you updated
 
ila tulikuwa tunadanganya kuhusu huyu jamaa kuwa taa uwanjani zikizimwa jamaa anaingia kwa kupaa,wabongo wengine wakasema jamaa aliua ndugu zake wote jinsi alivyo na roho mbaya,wabongo wakazidi kutia fora kuwa jamaa analala kwenye jeneza na makaz yake kaburini daaahh tulidanganyana sanaa
 
Hao ndo wabongo halisi sasa.
Wajuvi wa mambo, kila kitu wamekifanyia tafiti ( utaskia kwa nilivyochunguza nimeona.....).
Wabongo tunafurahisha.
 
NIMEANZA kumuangalia huyu miaka ya 1990 nikiwa Nairobi university, huyu alikuwa akingi ulingoni taa zinazimwa, mkipigana akakushika koo mchezo umeisha
 
ila tulikuwa tunadanganya kuhusu huyu jamaa kuwa taa uwanjani zikizimwa jamaa anaingia kwa kupaa,wabongo wengine wakasema jamaa aliua ndugu zake wote jinsi alivyo na roho mbaya,wabongo wakazidi kutia fora kuwa jamaa analala kwenye jeneza na makaz yake kaburini daaahh tulidanganyana sanaa
Kuna ndugu yangu aliniambia jamaa alishakufa(ga) kitambo sana kwahiyo unaopigana pale ni mzimu
 
ila tulikuwa tunadanganya kuhusu huyu jamaa kuwa taa uwanjani zikizimwa jamaa anaingia kwa kupaa,wabongo wengine wakasema jamaa aliua ndugu zake wote jinsi alivyo na roho mbaya,wabongo wakazidi kutia fora kuwa jamaa analala kwenye jeneza na makaz yake kaburini daaahh tulidanganyana sanaa
🤣🤣🤣 Kudadeki..😂
 
Ongezea ilifika mahala walisema jamaa alilua anakula Misumari , pia walisema jamaa anabeba mifuko ya cement mitano kwa mkono mmoja
 
"Rest in peace" my men. Dah ndo bas tena hatuwezi kurudisha siku nyuma. Mi ni shabiki wake wa kutupa. Nimeangalia nadhani 90% ya clip za mapigano yake yote. Roho yaniuma kwamba sitamwona tena "akiwaadhibu" washindani zake. Mapumziko mema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom