TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 351
ushabiki wote ulinitoka baada ya kujua almost kila kitu katika WWE huwa kinapangwa.
Mkuu,hata mm nilifikir hivyo kabla cjaanza kufuatilia michezo hii kwa karibu,lkn baada ya kufuatilia niligundua hiki nikisemacho kwamba lolote unpredictable and unexpectable hutokea uwanjani na ndio maana hadi sasa hajulikani atayebeba uchampion baada ya daniel brian to be illegally confiscated of his championship na mke wa bosi,hhh,aitwaye Stephanie Mcmahony