Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,261
- 4,836
Mm napenda a good laugh,hasa nikishamoka,pembeni nipo na juisi yangu pendwa ya miwa na vichapuza,then niweke muvie Kali ya komedi nichekee mpaka basi.
Katika safari yangu ya kucheka nimegundua kuwa kucheka sio rahisi kwani movie itakayokuchekesha Leo kesho utaona ya kitoto so laughing is hard to comeby.
Though Kuna movie kadhaa ambazo nimezudia more than once ila nimegundua Kuna facta kadhaa zilizofanya nizirudie mbali na ucheshi.
Hizi ni movies ambazo nimerudia more than twice,na bado nika zielewa na ningependa nione zako pia.
10.Back to the future (triology)
Ni comedy science fiction genre na imetumia Akili mingi.Kuna time travelling na adventure kibao.
9:Kun fu Hustle.
Achana na Jackie Chan,huyu Steven chow,ni bonge la Director katika action/comedy
8.Home alone.
Movie la 90 ambalo John Hughes aliua kinoma,imekaa kitoto bt ni muvi yangu ya kwanza kuipenda naambiwa nlikuwa na Miaka mitatu.
7.National lampoon:Vacation
Star humu ni Chevy chase huyu Jamaa ni hilarious sijaona ni aina ya akina Mzee majuto.
6.Private Resort(1985)
John Depp humu ndio anaonyesha moto,akiwa chalii,hii ni movi iliyonikuza pia.
5.The pink panther(inspector Clouseau)
Huyu Peter seller,Mr Bean akasome.
4.The Death of stalling(2017)
Kama unapenda Historical comedy huku utacheka.
3.The Gods must be Crazy 1&2
Napenda nature.
2.Johnny English
Mr Bean sio mchezo
1.Airplane 1&2
Leslie Nielsen anachekesha balaa huyu Jamaa,Kuna akina Chaplin ila Kuna huyu Jamaa,ukicheki Naked Gun,naked gun2½ utajua nachomaanisha
Bonus.
1.Life of Brian(1979)
2.Soulplane(2004)
3.Hot fuzz(2007)
4.Mr bones ya Leon shuster pia Jamaa ana buddies na short and sweet (hilarious)
5.Baby day out
6.Old school(2003) Todd Philip ni director wangu Bora kwenye comedy hajawahi haribu pia ndio kaongoza Hangover 1,2&3
7.Zombie land&zombie land double tap
8.Shaun of the dead
P.s ..ukitaka uionjoi movie tazama ambayo haijatafsiriwa maana Jamaa wanaotafsiri wanaharibu kwaliti ya movie mbali na kudanganya,Bora utafute subtitles.