Kwanini ukope harafu usirudishe...? Dawa ya deni kulipana usipo rudisha inakuwaje
Then what?Kweli vyuma vimekaza
Ilichobaki watu waingie street tu
Hapana....watakupa 20 hyo hyo....just lipa kwa ratiba ulochagua....!watakuongezeaMkuu nataka nifanye risk,nina hela hiyo ya kurejesha,sasa mimi nataka nirejeshe then waniongeze either 30k au 40k,nifanye kurejesha sio??
Daah..sasa wewe ilitokaje 20k hadi 50k??Hapana....watakupa 20 hyo hyo....just lipa kwa ratiba ulochagua....!watakuongezea
Wewe hujamuelewa jamaa!Daah..sasa wewe ilitokaje 20k hadi 50k??
Yaani nilipe 20k wasinipandishe bora sasa nitulie tu
Wewe hujamuelewa jamaa!
20k na 50k ipi kubwa? Tuanzie hapoNieleweshe kidogo basi mkuu,nitakushukuru sana
20k na 50k ipi kubwa? Tuanzie hapo
Issue ni kwamba yeye kasema mimi nikirudisha 20k watanipa tena hiyohiyo 20k,sasa yeye katoka 20k to 50k kwa mara ya kwanza,huoni kuna tofauti hapo??
Hivi ukikopa ukutupa na laini ..Mimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
Hivi ukikopa ukutupa na laini ..
Ukachoma na simu ...
Watakupataje. ...
Nataka nwakope mkuu kwa lain 10 tofaut
Mkuu nataka nilipe deni la 20k ili wanipe 40k je inawezekana instantly,maana nina shida na hiyo hela..nipe experience mkuuSasa hivi Ni vigumu maana wamebadilisha utaratibu wa kukopa, unatakiwa ujipige picha & upige picha ukiwa umeshika kitambulisho chako
dah....Sasa hivi Ni vigumu maana wamebadilisha utaratibu wa kukopa, unatakiwa ujipige picha & upige picha ukiwa umeshika kitambulisho chako
Hutokopeshekadah....
Ila sura yangu haionekan mkuu
Unaweza. Labda kama wameweka kanuni mpya. Mimi niko kote Tala na Branch na nimejiandikisha kwa Information zile zile. Ni sawa tu na kuwa na akaunti tatu kwenye Benki tatu tofauti kwa information zako zile zile. Inawezekana Mkuuhuwezi kukopa tala na branch kwa the same infomation