Wale wanaotumia TALA

Wale wanaotumia TALA

Mkuu nataka nifanye risk,nina hela hiyo ya kurejesha,sasa mimi nataka nirejeshe then waniongeze either 30k au 40k,nifanye kurejesha sio??
Si rahisi hvyo TALA wanapanda taratbu sana..naninatakiwa urudishe leo ukope kesho ndo utapata ongezeko zuri
 
Hivi Tala na Nala "iko dugu moja" au hawana uhusiano wowote?
 
Back
Top Bottom