Wale wanaotumia TALA

Mimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
Hivi ukikopa ukutupa na laini ..

Ukachoma na simu ...

Watakupataje. ...

Nataka nwakope mkuu kwa lain 10 tofaut
 
Sasa hivi Ni vigumu maana wamebadilisha utaratibu wa kukopa, unatakiwa ujipige picha & upige picha ukiwa umeshika kitambulisho chako
Mkuu nataka nilipe deni la 20k ili wanipe 40k je inawezekana instantly,maana nina shida na hiyo hela..nipe experience mkuu
 
huwezi kukopa tala na branch kwa the same infomation
Unaweza. Labda kama wameweka kanuni mpya. Mimi niko kote Tala na Branch na nimejiandikisha kwa Information zile zile. Ni sawa tu na kuwa na akaunti tatu kwenye Benki tatu tofauti kwa information zako zile zile. Inawezekana Mkuu
 
Hey guys,naomba kuuliza Kuna office za Tala hapa Tanzania and majengo kabisa ya TALA yapo wapi hapa Tanzania msaada pls kwa anaejua
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom