Wale wa Weruweru

ina maana hamna aliyesoma weruweru!!??
tupo ila mimi siuukumbuki huu wimbo mana nilikuwa naichukia shule vibaya mno nilikuwa naomba tu siku ziende ila sitasahau gwaride unalikumbuka? unalikumbuka lile lorry lilikuwa linaitwa scandnavia?
na ile the work done under my ministry is not well done the following step forward and neal down? the following are swahili speaker.
yani kwenye hizi area nilikuwa sikosi na akiitwa mmoja basi kundi zima litaitwa.
 
Yaani wewe acha hata dukani ukikosea tu unalibeba gauni la guni
 
Nakumbuka tulikua (Umbwe) tunacheza nao disko! Walikua wanabore wanakuja na uniform disko!
 
Tupo mwaya. Shamba oyeeeeeeee. Wakati wa midterm hakuna kwenda home, ni aidha kupanda au kuvuna.
Mama Clementina oyeeeeeeee

Nyimbo za Assembly 'siku lie ya kiyama, roho zarudia mwili! Na mauti na mate so yatakomayatakoma!

Au 'vijana tuishio siku za mwisho......... Magazeti na yasiwe ndicho kitu cha kubeba tuingiapo kanisani'

I love that school till death strangles me apart...lolo
 
Jamani weruweru, mi nilisoma kipindi cha mama Msuya. Nakumbuka nilikua naipenda sana siku ya kula videko na maharage. Ila tulikua tunapiga mzigo jaman housework kibao mara mradini, kusugua covered ways na njia za Njau, kukata majan ya ng'ombe. Function za centrql squire na last super.
 
Back
Top Bottom