Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
Jamani na sie tukumbushiane maisha ya Weruweru
Kwa kuanza: Mungu baba bariki Weruweru.
Endeleeni
Kwa kuanza: Mungu baba bariki Weruweru.
Endeleeni
unaishi Tanzania ipi
Hii shule iko wapi?
Iko Weruweru..
Wasikuzingue mwaya, ipo MoshiHii shule iko wapi?
Jf huwa kuna msimu wa mada...huu ni msimu wa shule, ulikuwepo wa nyumba ndogo, mke wa mtu, nk nkDuh, afu hii ya kukumbushiana mashule sijui ilitoka wapi.
Imekuwa hobby, ila safi.
Wasikuzingue mwaya, ipo Moshi
Jf huwa kuna msimu wa mada...huu ni msimu wa shule, ulikuwepo wa nyumba ndogo, mke wa mtu, nk nk
Usijali NgabuOh asante.
Hii ilichezwa hadi zile shule za 'academia'Ha ha ha, umenikumbusha misimu ya michezo shuleni
kama ulisoma st kayumba
Mara rede, mara kuruka kamba, mara kombolela .
Sijakuuliza wewe.
Kongosho rede nilikuwa naogopa sana kubutuliwa aisee...
Ule mpira unaotumika kucheza rede je? Ukiwa mgumu halafu ulengwe nao si maumivu hayo....wengine afya zetu zilikuwa mgogoro! Huko kudundwa na limpira la matambara magumu ndo nakuita kubutuliwa.Kwenye marede utabutuliwaje?
Mi nilidhani kubutuliwa kuko kwenye kombolela....lile kopo ndo linabutuliwa. Sasa wajanja tulikuwaga tunalijaza mchanga lile na mtu akija kulibutua lazima aumie.
kumbe roho mbaya uliianza zamani arifu..!Sasa wajanja tulikuwaga tunalijaza mchanga lile na mtu akija kulibutua lazima aumie.