nimeona jengo moja tu la library.
sijui walipewa msaada toka wapi
teh!
wadau nimekuwa selected TEKU vp kuhusu boom heslb inaconnection na hiki chuo?mana tumbo joto hasa kwenye boom.
We jamaa vipi TEKU huipendi wewe tuache sisi tukasome.teku, kampala hivi vyuo sivipendi kabisa maana havina ubora hata kidogo
teofilo kisanji dah bora nikaanze chekechea
connection ipo mkuu sio TEKU tuu bali ni kwa vyuo vikuu vyote
teofilo kisanji dah bora nikaanze chekechea
teofilo kisanji dah bora nikaanze chekechea
lol....
mimi nakijua lakini ( )