ajili ibrahim
Member
- Aug 19, 2013
- 73
- 3
Wakuu TEKU= Teofilo Kisanji University ni chuo cha kidini kinapatikana mbeya nje kidogo ya mjii maeneo yanayoitwa BLOCK T kama umechaguliwa mbeya nunua kabisa mablanket mazito makot sasa iv mbeya kuna barid xana