Wale wa TEKU tukutane kwa hapa.

Wale wa TEKU tukutane kwa hapa.

Ukikosa Chumba Uni Pm Ninanyumba Isengo Nataka Wanafunzi Tu Kutoka Teku Wa 1year
 
TEKU? Ndio kile chuo wanadeal pia na form 4 failures? Afu hao jamaa wa hicho chuo sio kabisa, I hate them. Hata jina tu baya ... teku..

World rank ni cha ngapi vileeee?
 
watu mpaka sasa hivi hawajapewa pesa yao ya filed kwa sasa ya poor management ya chuo,afu ww unang'ang'ania kwenda pale,duuuu utajutia

acha kuropoka/uongo wewe, una uhakika gani na unachokisema? Yaani mimi ndo namalizia hyo hela saivi alafu wewe unasema hatujapata? Aliyekuambia kakudanganya, nawe endelea kujidanganya hivyohivyo. Lakini usiwadanganye watu.
 
Sio tatizo ni changamoto tuuu watapewa tuuu hizo pesaa but karibun in da green city wadau

huyo METAL ni muongo, sisi hela tulipata kabla hata hatujaanza field (22nd July) na kwa upande wangu ndo naimalizimalizia hapa. Huyo anaropoka tu.
 
Last edited by a moderator:
TEKU? Ndio kile chuo wanadeal pia na form 4 failures? Afu hao jamaa wa hicho chuo sio kabisa, I hate them. Hata jina tu baya ... teku..

World rank ni cha ngapi vileeee?

embu kuwa specific, hao unaowaita 'jamaa', na unadai unawachukia ni kina nani? Wamiliki wa chuo, Wahadhiri, Wafanyakazi wengine au Wanafunzi ? Unamaanisha nini kwa kusema 'Ndio kile chuo kinachodeal na form 4 failures?'
 
Sasa nyie mnaowakatisha tamaa watu waliopangiwa TEKU (mf. METAL na Jerrymsigwa) mnamaanisha nini? Vipi nyie mna vyuo vyenu vizuri visivyokuwa na changamoto wala mapungufu yoyote ili waombe huko? Nyie pigeni midomo tu wakati hamna lolote. Kama mkopo tunapata wote, bum pamoja na hela ya field ndo hvyo kama kawa wote tunapata licha ya changamoto mbalimbali tunazo kumbana nazo. Isitoshe pia hata ajira wote watapata kwa wale watakaotegemea kuajiriwa. Poleni.
 
Last edited by a moderator:
Hallo! mkubwa TEKU selection zimetoka? mbona nimejaribu kutembelea tovuti yao hakuna habari mpya?
 
acha kuropoka/uongo wewe, una uhakika gani na unachokisema? Yaani mimi ndo namalizia hyo hela saivi alafu wewe unasema hatujapata? Aliyekuambia kakudanganya, nawe endelea kujidanganya hivyohivyo. Lakini usiwadanganye watu.

pole kwa kuxoma TEKU
 
TEKU,ni chuo safi sana make hapo wa2 wanasoma balaa, uctegemee upelekwe teku then ukaanze kucnzia utakmbia ww mwnyewe, pia ni ukosef wa akil unapoanza kuongelea jambo uclolijua, yaan m2 msomi kabsa unaanza kudis chuo fulan, huo ni ubwege!
 
Kwanza hongereni wote mliochaguliwa ila wale wa TEKU nawahitaji hapa. Nawasilisha

mm sio TEKU MSUBIR MWITA YY TEKU ANAKUJA KUPIGA B.A IN PERFOMANCE AND DANCING ANATAKA KUWA KAMA CHRIST BROWN
 
Back
Top Bottom