Wale wa Moshi technical unakumbuka nini?

Wale wa Moshi technical unakumbuka nini?

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,171
Reaction score
2,984
nimeikumbuka sanaa hii shule ni sehem yangu ya kujifunzia nlipopapenda sana..nakumbuka mengi sana na ujuzi wote na ujanja wote nilionao nimeupatia pale technical....nafikiri ni bonge la shule apa tanzania....shule yenye infrastructure nzuri japo si kwa idara zote.. nawakumbuka kina mwalimu

mpande
malisa
kombe
nkya mnyama

je ww unamkumbuka nani na kitu gani umekimiss toka MOSHI TECHNICAL ????
 
Kiungani bado ni the best katika technical school, Viva Tanga Technical
 
Nakumbuka sana Pale Moshi tech.

Mwalimu

1:-Mwasha

2:-Saweru
3:-Mhina(Kiguru)
4:-Mpande(naskia kafariki)RIP
5:-Kessy

Alafu kulikuwa na wale jamaa wanasoma jioni,walikuwa poa sana,Nakumbuka wale wa 1998-Kina Victor Kessy,Jose Mbwambo,Magreth Riwa,Aloyce Tarimo,na washkaji wengine wengi,Nakumbuka watoto wa walimu,Dah
 
Huwezi linganisha moshi tech
Na tanga kijana

KuanZia kufaulu mpaka menu ya chakula
Hivi unajua shule ya kwanza ya serikali tz ni ipi? Pale pamesoma na kupita watu wazito mpaka raisi wetu mstaafu
 
1.KOBA
2.Mpande
3.Nkya
4.Vimbuzi
5.Disco la shule
 
Nakumbuka sana Pale Moshi tech.

Mwalimu

1:-Mwasha

2:-Saweru
3:-Mhina(Kiguru)
4:-Mpande(naskia kafariki)RIP
5:-Kessy

Alafu kulikuwa na wale jamaa wanasoma jioni,walikuwa poa sana,Nakumbuka wale wa 1998-Kina Victor Kessy,Jose Mbwambo,Magreth Riwa,Aloyce Tarimo,na washkaji wengine wengi,Nakumbuka watoto wa walimu,Dah
Mpande yupo hai pale moshi mjini...alipata ajali kipind flan but yu hai. ..amefariki Mwalimu Athuman aliyekuwa akifundisha MV.
 
Mzee mzima nkya kubwa LA maadai na mzee was kusababisha MC Koba kiguru tenge
 
Mimi nimemaliza form six 2014 hapo nawakumbuka sana mwl nkya,ngorika,koba na pia mdada wa kanteen dada asha na pia headmaster wanamwita mtemi washikaji kibao nimewamic kina saiteru,evance,agapito joseph,boaz steven and mgema kulwa,nahc kulia ayse
 
Uko wapi kwa sasa Mkuu na Unafanya Mishe Gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom