Wale wa miaka ileeee!!

Wale wa miaka ileeee!!

Michezo ya radio nilikuwa sikosi hasa Pwagu na Pwaguzi, aaaah wapi Ben Kiko???

Michezo Toka Dodoma mtangazaji wako ni
Ben Kiko.Leo watoto wanyumbani CDA wamewacharanga Pan Africa club mabao matatu ziro.
 
nimekumbuka tena
wimbo wa wadhamini wa ligi kuu
Tanzania bara

utaipata popote marafiki wako walipo
..
utaipata popote uendapo.........

iwe mbali au karibu na utajihisi umbo la mwenye kufamikaa
pamoja na marafiki wako wa kweli.........
 
Bia ni moja tu ya kweli.....Tusker
 
Shambani shambani×2 kuna mazao bora jamaa. RTD kulikuwa nakipindi cha maneno hayoo
Mkuu sio ilikuwa hivi shambani shambanix2 mazao bora shambaaaani!!! Yote ni sawa zamani tuliburudika. Siku hizi miziki ya kubana pua tunakereka kusema za kweli!
 
betri zilikuwa national au abc zikiisha mnazigongagonga na kuziweka juani eti zinajichaj
Nimecheka! Nimekumbuka mjomba wangu ilikuwa ikifika saa nne asubuhi utakuta anapanga betri tena wengi walikuwa wanaita mawe ya radio. Hapo ni baada ya kusikiliza Tuimbe sote kuyaandaa kwa ajili ya mchana mwema halafu saa Tisa anayapanga tena nikikumbuka napata faraja na tabasamu moyoni. Kipindi cha tuimbe sote nilikipenda sana!
 
hahaha huruhusiwi kugusa redio kipindi hicho kumbe nawewe mzee mwenzangu
 
mwenye nayo tuwasiliane jamani. nilifanikiwa kupata national, toleo la nyuma ya hiyo (pichani)
 
Back
Top Bottom