Wale wa miaka ileeee!!

Wale wa miaka ileeee!!

Halafu redio yenu kumbe ilikua bendi mbili tu... Sisi tulikua na redio ya bendi nne..!!!
ila zote zilikuwa zinatumia betri (mawe) ya NATIONAL SPECIAL baadaye zikaitwa NATIONAL HYPER baadaye (hadi sasa) PANASONIC SPECIAL. japo huko awali ziliibuka ABC zikiwa na vifuniko vya plastiki kwenye terminal za +. ngoja mafundi watumie fursa. tupia kisa kama unakumbuka....... . uzuri wa NATIONAL SPECIAL ndani ya radio za national zilidumu zaidi ya miezi 6. zikianza miluzi mnazichemsha au kuzipondaponda hadi zinabonyea na kuanika kisha zinawekwa na kudunda mzigo kama jadi. mnasogeza bajeti lau wiki mbili. ngoja ya kale yaitwe dhahabu. simulizi za kuvutia za PLAYER kiukweli kutoka chini ya sakafu ya moyo wangu sizijui maana aliyeimiliki ni familia za hali ya juu sana tulizoea kuziona kwenye sherehe pekee. mwenye picha na maelezo atupie tujiliwaze kwa enzi na wajukuu wa JF wapate kujifunza. cheza na sub woofer lkn it will never be the sane again
 
ebwana wee. miaka hiyo 90's ikikung'uta RTD masafa ya am. utamsikia shabani kisu, sarah dumba, tumbo risasi na vipindi vya kuvutia kama mazungumzo baada ya habari, michezo, majira. masafa ya sw ilinasa barabara kbs nairobi. namkumbuka mtangazaji wa mbwembwe leonard mambo mbotera akitamka KBS NYAIROBIII!!!! ebwana weee ya kale ni dhahabu.
Nyamaza wewe, miaka ya tisini juzi sana mbona?
 
radio one ipi? ni hii ya ipp media? kama ndiyo niliipenda kwa vipindi murua: mtaa wa mangoma, chalanga, mtangazaji mahiri miaka ya 2001: abubakar sadid (alivuma huyo, aling'aa kwa nafsi za warembo mh. zaidi alikuwepo maulid kitenge ktk sport leoooo! na kipindi chao cha kipusa, anko julius nyaisanga akichambua mambo mseto (nilisikia alitutoka Mapenzi ya Mungu yatimizwe), charles hilari, mareheme amina chifupa. baadae akaingia abdallah mwaipaya abd sasa namuona itv. kiukweli zamani hazikuwa taaluma tu bali vipaji. saivi watangazaji wengi hawana mvuto wala ubunifu wa kuiteka akili ya msikilizaji. bali mbwembwe na michosho tu. wasikikizaji tunalenga vipindi malum tu km taarifa, zilipendwa na michezo basi.
Kipindi cha chemsha bongo na misanya bingi
 
Shambani shambani×2 kuna mazao bora jamaa. RTD kulikuwa nakipindi cha maneno hayoo
 
Umenikumbusha mbaali sana kipindi cha wagonjwa hospitalin yaan mtu akijiskia kwenye Redio anapona kbsa

Betri zikiisha mnaziponda na kuzianika juani zinaendelea kupiga mzigo
 
ebwana wee. miaka hiyo 90's ikikung'uta RTD masafa ya am. utamsikia shabani kisu, sarah dumba, tumbo risasi na vipindi vya kuvutia kama mazungumzo baada ya habari, michezo, majira. masafa ya sw ilinasa barabara kbs nairobi. namkumbuka mtangazaji wa mbwembwe leonard mambo mbotera akitamka KBS NYAIROBIII!!!! ebwana weee ya kale ni dhahabu.
Jamani 90's Radio One Fm stereo ilikuwa ishaanza, ITV ilikuwa ishaanza vile vile music systems za cd changers zilikuwa zishaanza kupatikana hadi kariakoo! Redio hizi 277 labda tuzungumzie 80's kurudi nyuma.
 
Ushimen nasikia ukiwa na hivi lazima upewe mke!

tapatalk_1476389322291-jpeg.473888
 
tapatalk_1476389021565-jpeg.473887

Hio redio ina mkubwa wake ana speaker huku na huku! Kwa kutafuna tape hio balaa, ukizubaa tu unakuta kanda yote imesokotwa!
 
Hata kwenda kwenye vipimo mtu unaenda kimyakimya, kuchukua majibu ndo mtihani mkubwa zaidi... Ama kweli Mungu katuweza. Haka kaugonjwa amekategeshea sehemu matata sana...

Idadi ya kupima hazihesabiki.....lakini sikumbuki kama nilishawahi kuchukua majibu....achilia mbali kuyasubiria.....

Mzee mwenzagu wasambaa wanasema....

KAMA NI MBWAI,MBWAI....
 
Kale ka kipindi ka "je huu ni uungwana??
 
ila zote zilikuwa zinatumia betri (mawe) ya NATIONAL SPECIAL baadaye zikaitwa NATIONAL HYPER baadaye (hadi sasa) PANASONIC SPECIAL. japo huko awali ziliibuka ABC zikiwa na vifuniko vya plastiki kwenye terminal za +. ngoja mafundi watumie fursa. tupia kusa kama unakumbuka....... . uzuri wa NATIONAL SPECIAL ndani ya radio za national zilidumu zaidi ya miezi 6. zikianza miluzi mnazichemsha au kuzipondaponda hadi zinabonyea na kuanika kisha zinawekwa na kudunda mzigo kama jadi. mnasogeza bajeti lau wiki mbili. ngoja ya kale yaitwe dhahabu. simulizi za kuvutia za PLAYER kiukweli kutoka chini ya sajafu ya moyo wangu siizijui maana aliyeimiliki ni familia za hali ya juu sana tulizoea kuziona kwenye sherehe pekee. mwenye picha na maelezo atupie tujiliwaze kwa enzi na wajukuu wa JF wapate kujifunza. cheza na sub woofer lkn it will never be the sane again

Pia bettery hizo zikizidi kuisha charge, tulikua tunaziweka karibu na choo cha shimo, kwa imani kuwa zilikua zinapata charge kutoka chooni...!!!
 
Jamani 90's Radio One Fm stereo ilikuwa ishaanza, ITV ilikuwa ishaanza vile vile music systems za cd changers zilikuwa zishaanza kupatikana hadi kariakoo! Redio hizi 277 labda tuzungumzie 80's kurudi nyuma.
Radio one na ITV sio 94 kweli?
 
Nakumbuka kodi ya maendeleo
Watu tuliteswa kweli


Nakumbuka mziki wa katitu
Ukiimba sana mziki kwenye kolas utasikia

Mwenyenyoo!!!

Kipindi cha hundwe
 
Back
Top Bottom