Wale wa miaka ileeee!!

Wale wa miaka ileeee!!

tapatalk_1476389021565.jpeg
tapatalk_1476389322291.jpeg
 
Kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana
Kipindi cha je huu ni ungwana kila jpili mchana KBC Nairobi

Pia kipindi cha mtunze punda akutunze

Yaani nilikuwa nakifueahia sana
Kwa tanzania kipindi cha salaamu kwa njia ya coupon
 
Na wakati mwingine kamziki kazuuuuri kwa Maquiz du Zaire. "wanasema ruudiee e rudi e ee..." au Maneti " Linalonishangaza sio liftiiiii mama watoto ..." kuashiria kwamba haya mabo ya siku hizi hayakuanza leo
 
ebwana wee. miaka hiyo 90's ikikung'uta RTD masafa ya am. utamsikia shabani kisu, sarah dumba, tumbo risasi na vipindi vya kuvutia kama mazungumzo baada ya habari, michezo, majira. masafa ya sw ilinasa barabara kbs nairobi. namkumbuka mtangazaji wa mbwembwe leonard mambo mbotera akitamka KBS NYAIROBIII!!!! ebwana weee ya kale ni dhahabu.
Namkumbuka Michael Katembo na "Tumbuiza asilia", alivyokuwa anataja kwao kuwa unakwenda kwa ndege siku mbili, kwa gari siku moja, kwa miguu ......, daa tumetoka mbali
 
Umenikumbusha kitambo kidogo nilikuwa mtu maalum kumbebea hii kitu babu yangu popote tunapoenda
 
Na wakati mwingine kamziki kazuuuuri kwa Maquiz du Zaire. "wanasema ruudiee e rudi e ee..." au Maneti " Linalonishangaza sio liftiiiii mama watoto ..." kuashiria kwamba haya mabo ya siku hizi hayakuanza leo
Duuh, umenikumbusha mbali Mzee.
Enzi za Radio Cologne Ujerumani.
 
ebwana wee. miaka hiyo 90's ikikung'uta RTD masafa ya am. utamsikia shabani kisu, sarah dumba, tumbo risasi na vipindi vya kuvutia kama mazungumzo baada ya habari, michezo, majira. masafa ya sw ilinasa barabara kbs nairobi. namkumbuka mtangazaji wa mbwembwe leonard mambo mbotera akitamka KBS NYAIROBIII!!!! ebwana weee ya kale ni dhahabu.
Mazungumzo baada ya habari nilikuwa napenda sana kusikiliza,kulikuwa kuna mafunzo mazuri sana
 
Kiongo mama njoo....
Unitulize roho, niridhike.....
Kiongo, nakuhitaji mama......
Mbona umehadimikaa.....
 
Radio one kwa masafa mafupi (SW) ni mita band 1441
radio one ipi? ni hii ya ipp media? kama ndiyo niliipenda kwa vipindi murua: mtaa wa mangoma, chalanga, mtangazaji mahiri miaka ya 2001: abubakar sadid (alivuma huyo, aling'aa kwa nafsi za warembo mh. zaidi alikuwepo maulid kitenge ktk sport leoooo! na kipindi chao cha kipusa, anko julius nyaisanga akichambua mambo mseto (nilisikia alitutoka Mapenzi ya Mungu yatimizwe), charles hilari, mareheme amina chifupa. baadae akaingia abdallah mwaipaya abd sasa namuona itv. kiukweli zamani hazikuwa taaluma tu bali vipaji. saivi watangazaji wengi hawana mvuto wala ubunifu wa kuiteka akili ya msikilizaji. bali mbwembwe na michosho tu. wasikikizaji tunalenga vipindi malum tu km taarifa, zilipendwa na michezo basi.
 
Wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba tetracycline
sikuwahi kujua kama kuna dawa zaidi ya aina 3 tu: asprin, klorokwini (ukimeza unawashwa mwiki mzima siku kama 5) na rangi mbili (sijui jina zaidi). yote hayo tuliyapata kwa duka la mchuuzi maarufu kijijini kwetu (jina kapun). kumbuka hakuna sijui duka la dawa baridi, sijui muhimu za binadamu. anagusa makorokoro ya dukani yamejaa vumbi, anamalizia kupima mafuta ya kula/taa kisha anabeba kopo la vidonge anapakua kwa kijiko unalipa sh. 1 anakukunjia kwenye kigazeti hakuna maelezo kunywa 2x3 mbio nyumbani. **usafiri wa uhakika (ili uwahi) ni kuendesha ringi ya baskeli. watoto wa enzi hizo mnakumbuka
 
Back
Top Bottom