Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,549
- 21,676
Kulikuwa na tune na fine tune kwenye SW 1 hadi SW 7
shikamoo babu! nami ni mzee kwa wengi wa sasa. sitadanganya ya miaka ya 70 hali nilikuwa ndani ya kokwa za mzee wangu! hahahaa. kila zama na kitabu chake. kuna ambao hata radio za Phillips hawakuziona mkuuNyamaza wewe, miaka ya tisini juzi sana mbona?
Wengine tukiambiwa 90's huwa hatujui kutofautisha baina ya early, mid and late.94 ndio 90's hizo.

Mshanaaaaaaaaaaa...Wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba tetracycline![]()
Mambo ya laizoni au teremka tuzoze.
Kwakweli acha iwe mbwai tu kuliko kufa kwa presha ya kujitafutiaIdadi ya kupima hazihesabiki.....lakini sikumbuki kama nilishawahi kuchukua majibu....achilia mbali kuyasubiria.....
Mzee mwenzagu wasambaa wanasema....
KAMA NI MBWAI,MBWAI....
Ahahaahaahhahhahha we jamaa kata kimoja hapo mkuuBetrii zikiisha inapiga miluzi balaa. Ukiifungua kama hukumbuki step utakuta vitu vimejaa na bado spika hujairudishia. Hahaha
hahahaAhahaahaahhahhahha we jamaa kata kimoja hapo mkuu![]()
Ha ha ha ha ha ha.........mkuu umewaza mini?Wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba tetracycline![]()
Kombora na ombi lako kama sio usikumwema palipigwa ngoma sio mchezo vipindi kama mkoa kwa mkoa malima nderema au nadhir mayoka sio mchezo kipindi hicho ndio niliusikia wimbo wa kila munu ave na kwao wakati sijui umekwenda wapi?Wakati huo ugonjwa mkubwa ulikuwa kaswende tiba tetracycline![]()
Kwa mara nyingine Radio Tanzania Dar es Salaam inawaletea....Club Raha Leo...shooooooooooow! Mtangazaji Enock NgombaleMe nilikuwa mpenzi wa zinduka
Yaani hii ilikuwa safi kweli
Pia pole kwa kazi
Na Club raha Leo show
Mazungumzo baada ya habari nilikuwa napenda sana kusikiliza,kulikuwa kuna mafunzo mazuri sana
Kipindi cha mchana mwema na uncle J Nyaisanga, salamu zimfikie bingwa wa salamu .....

kumbe umeenda age nawewe